Simu kushindwa Ku upload pics na vids zilizopo kwenye Sd card JF

shiite

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
313
298
Naimani mu wazima wanajf. Natumia huawei Y336, nashindwa ku upload picha na video zilizopo kwenye memory card jamii forum. Lakin social network zingine kama fb, whatssup, n.k inakubali. Wataalamu munisaidie, je ni tatizo la simu, au sizijui settings za kufanya? au nini hasa? Akhasanteni
 
Swali hili nilitegema watakujibu wahusika wa jamiiforums lakini cha ajabu wamekukaushia

Ila pole mana Hata mie sijui.
 
Pole mkuu naomba utupe majibu hapa ya haya maswali, je unatumia app ya jamiiforum? au una browsing kuptia browsers za Sim?
 
Jaribu kutumia kupitia apps mbadala kama vile Tapatalk au ile Freebasics ya kusurf websites maarufu ikiwemo jamiiforum bure, I hope zitakusaidia kutatua tatzo hilo.
Thanks, ngoja nijaribu nione!!!
 
pengine hio app haina permission ya hio memory card

nenda setting then apps halafu chagua app ya jf then chagua permission halafu tick upande wa storage.

huawei/tecno na simu nyengine naona pia siku hizi zinakuja na built in app manager, zinazingua sana kwa kublock apps kufanya mambo mengi, pia unaweza angalia hapa
 
Back
Top Bottom