J jessyrey Member Mar 12, 2017 7 1 Mar 24, 2017 #1 Nauza simu imetumika miezi miwil Blackberry passport piga 0626104816, bei maelewano Attachments bb-passport_1.png 21.1 KB · Views: 31
Kigogo JF-Expert Member Dec 14, 2007 20,508 6,173 Mar 24, 2017 #2 Acha kuuza uza vitu wewe..simu lenyewe pana halikai hata mkononi kubwaa kama bakuli
misstrace JF-Expert Member Oct 5, 2016 649 1,483 Mar 24, 2017 #3 Kigogo said: Acha kuuza uza vitu wewe..simu lenyewe pana halikai hata mkononi kubwaa kama bakuli Click to expand... Mkuu kwani inakuhusu nini??? Embu mwache mwenzio afanye biashara kwanza mkubwa wa Nchi kashasema tusipangiane.
Kigogo said: Acha kuuza uza vitu wewe..simu lenyewe pana halikai hata mkononi kubwaa kama bakuli Click to expand... Mkuu kwani inakuhusu nini??? Embu mwache mwenzio afanye biashara kwanza mkubwa wa Nchi kashasema tusipangiane.
J jessyrey Member Mar 12, 2017 7 1 Mar 24, 2017 Thread starter #5 Wajad said: Weka bei mubashara Click to expand... 250,000/= Maongezi yapo
optico JF-Expert Member Jul 4, 2016 267 308 Mar 24, 2017 #6 jessyrey said: 250,000/= Maongezi yapo Click to expand... zinakua simu ngapi.?
J jessyrey Member Mar 12, 2017 7 1 Mar 24, 2017 Thread starter #7 optico said: zinakua simu ngapi.? Click to expand... Moja. Yangu binafsi