Simu haifungui wi_fi na bluetooth

king raji

Member
Dec 30, 2016
13
2
Naomba mnisaidie nifanyaje simu yangu samsung note 2 ifungue wi_fi na bluetooth. Imejiupgrade version from 4.1 up to 4.4.1
 
Kama haifungui wifi na Bluetooth unge jaribu shemeji na redtooth huenda itafungua
 
Naomba mnisaidie nifanyaje simu yangu samsung note 2 ifungue wi_fi na bluetooth. Imejiupgrade version from 4.1 up to 4.4.1
Mkuu, hii upgrade umeifanya official au ni costom ROM? Kama ni custom ROM tutajie aina na version yake.. Jibu ASAP
 
Mm nili restore tu. Imekuja version 4.4.1
Na version yake ya mwanzo ni 4.1
Kabla ya ku-reset ilikua inafanya kazi zote(wifi+Bluetooth)? Ebu angalia kwenye Settings >>About Phone alafu tuma screenshot yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…