The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 722
- 1,183
Hivi mbunge anakosa hela ya kuchukulia fomu mpaka achangiwe? Na wanalipwa posho si chini ya laki sita kila siku huko bungeni, ni yale yale wanaomchangia Rais kila siku.. Mshana Jr weka neno hapa
====
Mbunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga amechangiwa pesa takribani 1,586,000 kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika jimbo hilo.
Haya ni mambo za kupitishwa bil kupingwa.. eti fomu ya mbunge ishalipiwa, itakayobaki itaingizwa kwa madiwani maana kwenye ubunge wameshamaliza
Tukio hilo limejiri katika mkutano Mkuu Maalum Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Itilima, mkoani Simiyu Februari 15, 2025 ambapo Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu huo.
Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025