pakacha77
Member
- Aug 12, 2022
- 91
- 98
Nimeona baadhi ya mashabiki wa timu hizi mbili yaani Simba na Yanga, Simba wana kapu lililoandikwa kapu la magoli pindi unapoangalia mechi zao utaliona na Yanga wana kapu lililoandikwa kapu la pointi. Sasa Nani zuzu waliokuwa na kapu la magoli au kapu la pointi jibu unalo 


