Simba waamua kutembeza bakuli kuchangia faini ya CAF

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
19,024
28,987
Bakuli lishaanza kutembezwa. Mlivyokuwa mnatoa viti mnasema Ubaya UbwelaHaya toeni pesa. Na Zile za Uwanja zipo wapi kwanza?

Makolo waomba kuchangia faini ya 100 million Ili kulipa faini Baada ya kuvunja viti

NB: yawezekana hata sio makolo waliovunja viti .... maybe ni kamati maalumu

Ubaya uboya...
1735483208102.jpg
 
Majukumu ni mengi kuendesha timu ya mpira wa soka la wataalamu tofauti na bendi ya muziki ama timu za ndondo cup

To manage a football club that has professional players is not an easy task
Sema live mkuu....unakuta una mtu una mlipa 30milion per month.......

Mpira sio kitu Cha kitoto
 
Huu ndo ubaya ubwela wenyewe...hatushindwi na wowote...
Yanii ni tumetaka wenyewe nishachangia elfu 15 yangu chapuu..
We are Simbas Fans and we love our team...
hii kama imewauma pia kunyweni juice ya arovera..
Umefanya la maana mkuu.... Kwaajili yako na Mimi naenda kuchangia

Million 3 = 3,000,000/ Tzs
 
Mashabiki ndio wameuambia uongozi kwamba wanataka wawajibike kwa niaba ya wenzao wachache waliofanya ushamba
Kumbe hujawahi hudhuria vikao vya shule.....
Wanakuwepo machawa ....from no where utasikia " wazazi kama tulivyokubalian mchango utakuwa 50k

So unajikuta u can't resist
 
Vizuri.
Huko mbeleni ikiwezekana Tuwe na database ya tiketi, itasaidia kuwatambua mashabiki wanaoisapoti Simba na wale wanaoingia kwa mgongo wa ushabiki kumbe waharibifu watatambuliwa na kupigwa ban ya kutazama mechi za Simba au anunue Ban yake kwa bei mara mbili ya uharibifu aliofanya.
#BAKULIUBAYAUBWELA.
 
Huu ndo ubaya ubwela wenyewe...hatushindwi na wowote...
Yanii ni tumetaka wenyewe nishachangia elfu 15 yangu chapuu..
We are Simbas Fans and we love our team...
hii kama imewauma pia kunyweni juice ya arovera..
Million 100 sio ndogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom