GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,462
- 120,821
Mtagongwa tu na ubingwa mtausikia kwa YANGANaomba nipewe hilo Jukumu na niwe na Watu hawa Idi Kajuna ( Mtani wangu wa Kihaya ), Mafia Mwenzangu Kassim Dewji ( KD ), Mandanje Mzee wa Kujilipua na Mvaa Mabomu na Poti wangu kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Msomi na Tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika Mechi zao hizi Tatu zijazo.
Ya Kagera Sugar FC tunataka watoke Sare ( waangushe Alama Mbili ), ya Singida Big Stars FC ( japo ni Ndugu zao kupitia Waziri wa Fedha Nchemba ) tunataka nayo watoke Sare ( waangushe Alama Mbili tena ) na ile ya Namungo FC ( ambao ni Ndugu zetu kabisa ) tunataka Yanga SC Wafungwe ili Waangushe Jumla ya Alama ( Points ) Saba ( 7 ) tu kisha Kazi imalizike.
Simba SC nitafutenu haraka GENTAMYCINE na mniwekee kabisa na Package ( Hela ) yangu ili nizicheze hizi Mechi zao Kubwa na Muhimu Tatu tu sawa?
Nawaonya kama Simba SC tusipozicheza hizi Mechi zao Tatu na Sisi leo dhidi ya Ihefu FC tukatoka Sare au hata Kufungwa na ile ya Namungo FC Wiki ijayo nayo tukafungwa au kutoka Sare basi GENTAMYCINE nasema Wazi na hapa hapa JamiiForums kuwa Ubingwa wa NBC Premier League kwa Msimu huu tena tuusahau na Yanga SC wataubeba ( watauchukua ) tena.
Kwa ninavyoiona Simba SC ya sasa wala hauko mbali na Ukweli kwani ni Simba SC iliyo kama Mgonjwa wa Homa ya Vipindi.Mtagongwa tu na ubingwa mtausikia kwa YANGA
Hamia "airtel" uepukane na pressure zisizo na sababuKwa ninavyoiona Simba SC ya sasa wala hauko mbali na Ukweli kwani ni Simba SC iliyo kama Mgonjwa wa Homa ya Vipindi.
Genta! Wewe mwanasimba kindakindaki. Jitolee bure hela ya nini?Naomba nipewe hilo Jukumu na niwe na Watu hawa Idi Kajuna ( Mtani wangu wa Kihaya ), Mafia Mwenzangu Kassim Dewji ( KD ), Mandanje Mzee wa Kujilipua na Mvaa Mabomu na Poti wangu kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Msomi na Tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika Mechi zao hizi Tatu zijazo.
Ya Kagera Sugar FC tunataka watoke Sare ( waangushe Alama Mbili ), ya Singida Big Stars FC ( japo ni Ndugu zao kupitia Waziri wa Fedha Nchemba ) tunataka nayo watoke Sare ( waangushe Alama Mbili tena ) na ile ya Namungo FC ( ambao ni Ndugu zetu kabisa ) tunataka Yanga SC Wafungwe ili Waangushe Jumla ya Alama ( Points ) Saba ( 7 ) tu kisha Kazi imalizike.
Simba SC nitafutenu haraka GENTAMYCINE na mniwekee kabisa na Package ( Hela ) yangu ili nizicheze hizi Mechi zao Kubwa na Muhimu Tatu tu sawa?
Nawaonya kama Simba SC tusipozicheza hizi Mechi zao Tatu na Sisi leo dhidi ya Ihefu FC tukatoka Sare au hata Kufungwa na ile ya Namungo FC Wiki ijayo nayo tukafungwa au kutoka Sare basi GENTAMYCINE nasema Wazi na hapa hapa JamiiForums kuwa Ubingwa wa NBC Premier League kwa Msimu huu tena tuusahau na Yanga SC wataubeba ( watauchukua ) tena.
Kila mtu ashinde mechi zakeTatizo sio mechi za wananchi tatizo ni sisi mbumbumbu kumtegemea kibu kutupa matokeo
Mpigie Mwamedi atashusha mzigo wa maana halafu ni PM tuje kuubwenga.Naomba nipewe hilo Jukumu na niwe na Watu hawa Idi Kajuna ( Mtani wangu wa Kihaya ), Mafia Mwenzangu Kassim Dewji ( KD ), Mandanje Mzee wa Kujilipua na Mvaa Mabomu na Poti wangu kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Msomi na Tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika Mechi zao hizi Tatu zijazo.
Ya Kagera Sugar FC tunataka watoke Sare ( waangushe Alama Mbili ), ya Singida Big Stars FC ( japo ni Ndugu zao kupitia Waziri wa Fedha Nchemba ) tunataka nayo watoke Sare ( waangushe Alama Mbili tena ) na ile ya Namungo FC ( ambao ni Ndugu zetu kabisa ) tunataka Yanga SC Wafungwe ili Waangushe Jumla ya Alama ( Points ) Saba ( 7 ) tu kisha Kazi imalizike.
Simba SC nitafutenu haraka GENTAMYCINE na mniwekee kabisa na Package ( Hela ) yangu ili nizicheze hizi Mechi zao Kubwa na Muhimu Tatu tu sawa?
Nawaonya kama Simba SC tusipozicheza hizi Mechi zao Tatu na Sisi leo dhidi ya Ihefu FC tukatoka Sare au hata Kufungwa na ile ya Namungo FC Wiki ijayo nayo tukafungwa au kutoka Sare basi GENTAMYCINE nasema Wazi na hapa hapa JamiiForums kuwa Ubingwa wa NBC Premier League kwa Msimu huu tena tuusahau na Yanga SC wataubeba ( watauchukua ) tena.
Tatizo sio mechi za wananchi tatizo ni sisi mbumbumbu kumtegemea kibu kutupa matokeo
Gentamycine bhana imebidi nicheke tu hakuna namna maana una visa sana aiseeNaomba nipewe hilo Jukumu na niwe na Watu hawa Idi Kajuna ( Mtani wangu wa Kihaya ), Mafia Mwenzangu Kassim Dewji ( KD ), Mandanje Mzee wa Kujilipua na Mvaa Mabomu na Poti wangu kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Msomi na Tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika Mechi zao hizi Tatu zijazo.
Ya Kagera Sugar FC tunataka watoke Sare ( waangushe Alama Mbili ), ya Singida Big Stars FC ( japo ni Ndugu zao kupitia Waziri wa Fedha Nchemba ) tunataka nayo watoke Sare ( waangushe Alama Mbili tena ) na ile ya Namungo FC ( ambao ni Ndugu zetu kabisa ) tunataka Yanga SC Wafungwe ili Waangushe Jumla ya Alama ( Points ) Saba ( 7 ) tu kisha Kazi imalizike.
Simba SC nitafutenu haraka GENTAMYCINE na mniwekee kabisa na Package ( Hela ) yangu ili nizicheze hizi Mechi zao Kubwa na Muhimu Tatu tu sawa?
Nawaonya kama Simba SC tusipozicheza hizi Mechi zao Tatu na Sisi leo dhidi ya Ihefu FC tukatoka Sare au hata Kufungwa na ile ya Namungo FC Wiki ijayo nayo tukafungwa au kutoka Sare basi GENTAMYCINE nasema Wazi na hapa hapa JamiiForums kuwa Ubingwa wa NBC Premier League kwa Msimu huu tena tuusahau na Yanga SC wataubeba ( watauchukua ) tena.
Ngumu sana simba kufungwa au kutoa draw na IhefuNaomba nipewe hilo Jukumu na niwe na Watu hawa Idi Kajuna ( Mtani wangu wa Kihaya ), Mafia Mwenzangu Kassim Dewji ( KD ), Mandanje Mzee wa Kujilipua na Mvaa Mabomu na Poti wangu kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Msomi na Tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika Mechi zao hizi Tatu zijazo.
Ya Kagera Sugar FC tunataka watoke Sare ( waangushe Alama Mbili ), ya Singida Big Stars FC ( japo ni Ndugu zao kupitia Waziri wa Fedha Nchemba ) tunataka nayo watoke Sare ( waangushe Alama Mbili tena ) na ile ya Namungo FC ( ambao ni Ndugu zetu kabisa ) tunataka Yanga SC Wafungwe ili Waangushe Jumla ya Alama ( Points ) Saba ( 7 ) tu kisha Kazi imalizike.
Simba SC nitafutenu haraka GENTAMYCINE na mniwekee kabisa na Package ( Hela ) yangu ili nizicheze hizi Mechi zao Kubwa na Muhimu Tatu tu sawa?
Nawaonya kama Simba SC tusipozicheza hizi Mechi zao Tatu na Sisi leo dhidi ya Ihefu FC tukatoka Sare au hata Kufungwa na ile ya Namungo FC Wiki ijayo nayo tukafungwa au kutoka Sare basi GENTAMYCINE nasema Wazi na hapa hapa JamiiForums kuwa Ubingwa wa NBC Premier League kwa Msimu huu tena tuusahau na Yanga SC wataubeba ( watauchukua ) tena.
Kwahiyo Juzi ulivyotoka Sare na Singida Big Stars FC ulipenda na ulitegemea?Ngumu sana simba kufungwa au kutoa draw na Ihefu
Wewe Nasma si upo utopolo wala mihogoTatizo sio mechi za wananchi tatizo ni sisi mbumbumbu kumtegemea kibu kutupa matokeo