Simba SC ni kubwa kuliko Bodi ya ligi kuu na TFF

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
4,766
12,046
Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii

Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa pamba jiji ofisini kwao mechi hsikuahirishwa

TFF ikawachekea , leo hii wao wenyewe bodi ya ligi wanakili kuwasimba hakuwasiliana na mamlaka ya uwanja wa mkapa walikuwa wanataka kuingia kienyeji kimazoea zoea uwanjani wakazuiliwa kuingia uwanjani wakaamua kususa

Wakaamua wasusie mchezo basi Bodi ya ligi na TFF wameahirisha mechi

Simba hii hii ikipendelewa na waamuzi watu wakilalamika Bodi hii hii inawachekea na kuwakingia kifua hata kama kuna viashiria vya rushwa

SIMBA ni kubwa kuliko TFF na TPLB nahitimisha
 
Ni swala la muda labda wahamie Burundi, Mechi itapangwa na kipigo kiko palepale
 
Screenshot_20250308-152526_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom