Simba Sc na Mo acheni uchawa; eti Rais kawezesha Simba kutoboa kimataifa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
54,502
123,173
moodewji_5b061f40a79a4314998579fd9416962f.jpg

Simba imekuwa club ya kujipendekeza sana kwa serikali kama vile ni mali ya serikali. Walikuwa wavaa Visit Tanzania bure kabisa bila malipo, tofauti na wenzao Yanga. Wenzao wakapewa ndege mwaka juzi, wakati nyinyi mkihangaika kupeleka mashabiki.

Hovyo kabisa. Laana iwakute mkachapwe kichapo cha mbwa koko huko South Afrika
 
View attachment 3312964

Simba ni timu ya CHAWA, wacha tu tuiombee mabaya
 
View attachment 3312964
Simba imekuwa club ya kujipendekeza sana kwa serikali kama vile ni mali ya serikali. Walikuwa wavaa Visit Tanzania bure kabisa bila malipo, tofauti na wenzao Yanga. Wenzao wakapewa ndege mwaka juzi, wakati nyinyi mkihangaika kupeleka mashabiki.

Hovyo kabisa. Laana iwakute mkachapwe kichapo cha mbwa koko huko South Afrika
Mimi Si mwanasimba ila hapo sielewi kosa la Mo liko wapi? Kumshukuru Rais kwa msaada aliotoa ni kosa? Hamuoni kama kaipunguzia timu ghalama za uendeshaji? Katika hali kama hiyo kwani asishukuriwe?
 
Laana ikukumbe wewe...usituletee mkosi kwny timu yetu..kama una ugomvi na serikali na Mo ni wewe...
Yani kisa mtu mmoj kusema hivyo unaiombea Simba mabalaaa wewe vipi braza...
Na,wamekosea wapi kushukuru?
Mwenyewe nimeshangaa sana. Mwasibu wetu naona leo kavurugwa au pengine kuna priorities zimeingiliana maana ni kolo pyua...

Ila hakuna namna. Acha tu wakafungwe. Kama mwasibu keshasema hivyo, sisi ni nani hadi tupinge? 😂
 
Biashara united ilishindwa kusafiri kwenda kushiriki mashindano ya kimataifa Kwa sababu ya kukosa nauli lakini Wala sikumsikia huyo Samia wenu akijigusa ila Kwa kuwa yeye lengo lake ni la kisiasa zaidi na kutafuta uungwaji mkono basi lazima azisaidie Simba na Yanga ili apate fadhila na huruma za mashabiki wa hivi vilabu viwili na siyo kwamba anapenda mpira ila ni opportunity kwake
 
Mnadanganywa na mnakubali.
Hizo ni siasa tu.
Hakuna sehemu selikali imetoa fedha.
Hakuna sehemu Samia katoa fedha.
Hakuna sehemu wizara imetoa fedha.

Hizi ni siasa tu na Kujipendekeza
Watu wanaintrest zao za kibiashara kodi nk.

Mo ni kama amejishukuru mwenyewe.

Kwaheri ukoloni.
Kwaheri uhuru.

BURIANI MWALIMU NYERERE.
 
Mwenyewe nimeshangaa sana. Mwasibu wetu naona leo kavurugwa au pengine kuna priorities zimeingiliana maana ni kolo pyua...

Ila hakuna namna. Acha tu wakafungwe. Kama mwasibu keshasema hivyo, sisi ni nani hadi tupinge?
Ni mambo ya kisiasa ndio yaliyomvuruga mwasibu. Mwasibu ni ant CCM hivyo yupo radhi Simba ifungwe ili tu iidharirishwe.
 
Nami ni mshabiki wa simba ila kama kweli viongozi wamefanya hayo natufungwe tena mengi ila kama hawajafanya basi simba ishinde kwa kishindo kama cha wakoma
 
Back
Top Bottom