SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 8,504
- 13,808
Hata ufanye nini, ukubwa haujifichi. Kuna timu ilipelekwa huko katikati ya mashamba ya alizeti eti kuzindua uwanja ambao kwanza hauna hata majukwaa na matokeo yake wageni rasmi waliloana tepetepe, kamvua tu kadogo kakasitisha mechi.
Wakati huo huo, Simba imepewa heshima ya kuzindua viwanja viwili vikubwa zaidi nchini baada ya matengenezo makubwa, Uwanja wa Mkapa na uwanja wa New Amaan Complex. Baada ya hapo wengine ndiyo wataruhusiwa kuvitumia.
Simba ndiyo timu ya kwanza kutumia pitch mpya ya New Amaan Complex na mashabiki wa Simba ndiyo wa kwanza kwenda kukalia viti vipya vya uwanja wa Mkapa.
Nuneni ila hamna kitu mnaweza fanya! Kwa kukumbushia, nimestaafu kubishana na mashabiki wa vitimu vidogovidogo.