OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,576
- 116,610
SIMBA QUEENS YABEBA UBINGWA WA NGAO YA JAMII 2023
Timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake 2023 kwa kuifunga JKT Queens kwa njia ya penati 5-4 baada ya matokeo ya goli 1-1 katika muda wa kawaida.
Baada ya mchezo huo wa Fainali kukafanyika zoezi la utoaji Tuzo ambapo Mchezaji Bora wa Fainali na Mfungaji Bora ni Stumai Abdallah wa JKT Queens wakati Mchezaji Bora wa Michuano ya Ngao ni Vivian Corazone wa Simba Queens.