Simba Leo Tunashinda Mechi Yetu Dhidi ya Namungo

Kitimoto

JF-Expert Member
Aug 25, 2012
6,831
7,680
Kila kitu vimewekwa sawa, waamuzi, makocha wa timu pinzani na baadhi ya wachezaji wa timu pinzani wameshawekwa sawa kazi yetu leo ni ushindi mnono huyo Utopolo atajuta.

Kadi Nyekundu itatolewa kwa mchezaji/wachezaji wa timu pinzani iwapo wataonyesha hasira ama kufanya rafu inayohitaji kadi ya njano. Tutapewa penalti na goli/magoli tutakayofungwa yatakataliwa na refa.

UBAYA UBWELA
 
View attachment 3241674

UBAYA UBWELA
Yametikia kwa kadi nyekundu na penalti
 
Tugawane uridhi
IMG_20250219_194117.jpg
 
Pata Pata Pata Utajiri

Kama utani wa Jadi ni mzuri ngoja nikutanie "wewe ni mvamizi wa viwanja"😂😂😂

Watoto wa kishua naomba kazi ya "Uhouse BOY"

Mtaa wa "imsi=640021177148086&uid=2dc0f0cd0dcd98ea00ea2efe528ad43d&t=2&tl=ki2ni" unakutangazia

Fully varnished and finished Apartment kwa TSH 30,000 kwa mwezi

Piga namba hii upate huduma
IMG_20250219_194117.jpg
 
Ulijuajee mtaniii..
Ila si umeona jinsi ilikua ngumu kupenya kwny ukuta wa namungo..mpk faulo.m zikatokea...
Mchezo ulikuwa mzuri. Ila kama ilivyo kawaida kwenye mechi zenu; mwamuzi ameharibu mchezo. Na nitashangaa kama hatafunguwa kwa madudu yake aliyofanya leo.
 
Kafanya madudu gani?niambie ni tukio lipi alifanya maamuzi mabaya?
 
Alikuwa anaipendelea wazi wazi Simba kwenye maamuzi yake. Mara kadhaa wachezaji wa Namungo walipochezewa rafu, alipotezea! Halafu wakiguswa hata kidogo tu wachezaji wa Simba alipuliza filimbi ya na kuwapa faulo.

Jambo hili liliwatoa Namungo mchezoni kwa sababu waliamini mwamuzi anaipendelea timu pinzani! Penati ya kwanza ilikuwa ni ya kujiangusha! Kadi nyekundu haikueleweka ilitolewa kwa sababu gani!

All in all, binafsi ninachukizwa sana na waamuzi wenye maamuzi ya hovyo. Angalia mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na SBS! Hakuna mchezaji/mtu aliyemlalamikia! Kwa sababu alichezesha kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu.
 
Mechi ya kali na mwamuzi aliyefanya vizuri kwa huu mwezi ni Arajiga mechi ya JKT vs Yanga. Hakuna mchezaji hata mmoja aliyelalamika,wala benchi ya ufundi. Lakini mechi zingine zote lawama zilikuwa nyingi.
 
Arajiga kwa sasa hana mpinzani. Na ndicho ninachotamani kukiona kwa waamuzi wetu, kwenye ligi yetu. Haya mambo mambo ya kuchezesha hovyo, yanaziathiri sana timu ndogo pamoja na wachezaji wao.
 
Hatuwezi kuepuka hili Simba na Yanga wanapocheza na wengine,waamuzi wamekuwa mashabiki wa hizi timu, sidhani kama hili jambo litatatulika tena kwenye ligi yetu
 
Mchezo ulikuwa mzuri. Ila kama ilivyo kawaida kwenye mechi zenu; mwamuzi ameharibu mchezo. Na nitashangaa kama hatafunguwa kwa madudu yake aliyofanya leo.
Hawezi fungiwa...ktk waamuzi bora basi na huyu yupo...
Ile kadi nyekundu lazima kuna jambo lilitokea
 
Back
Top Bottom