Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,869
- 16,917
Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.
Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
ATAKE ATAPIGWA, ASITAKE ATAPIGWA. HAMNA NAMNA. YAANI HAWEZI KWEPA KIPIGO KWA NAMNA YOYOTE ILE. IWE MVUA IWE JUA, IWE MWANGA IWE GIZA. AFE KIPA AFE BEKI. WATAPIGWA.