Kibu ni msengerema,View attachment 3050326
Klabu ya Simba inautaarifu Umma kuwa mchezaji wake, Kibu Denis Prosper hajaripoti kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa mwaka 2024/2025.
Tunapenda kuutarifu umma kuwa Simba tulimuongezea Kibu mkataba wa miaka miwili zaidi utakaoisha, Juni 2026 na kumlipa stahiki zake zote za kimkataba.
Hata hivyo, mchezaji huyu amekuwa akitoa sababu kadha wa kadha zinazomfanya kushindwa kuripoti kambini.
Kutokana na utovu huu wa kinidhamu klabu itamchukulia hatua stahiki za kinidhamu na umma utapewa taarifa.
Imetolewa na:-
Idara ya Habari na Mawasiliano, Simba Sports Club.
Julai 23, 2024
Mkipewa taarifa rasmi shida msipopewa mkabaki na tetesi na minong'ono shida vile vile.Wasilete ujinga nao, hii taarifa haikupaswa kutolewa, ni kukaa kimya kisha kufanya maamuzi kama ni faini, wampige faini, sie watupe taarifa ya faini sio hizi porojo hapa ni kama mikwara kwa kibu.
UmemalizaMkipewa taarifa rasmi shida msipopewa mkabaki na tetesi na minong'ono shida vile vile.
Watu kama nyinyi hamueleweki mnachotaka.
Simba wamefanya jambo zuri kuutarifu umma kwakuwa timu ni ya wanachama na mashabiki sio ya viongozi pekee.
Kumtetea mpuuzi kama huyo ni upuuziWatetezi wa Kibu D karibuni kwa maoni.
Wapi nilitaka taarifa ya kibu.Mkipewa taarifa rasmi shida msipopewa mkabaki na tetesi na minong'ono shida vile vile.
Watu kama nyinyi hamueleweki mnachotaka.
Simba wamefanya jambo zuri kuutarifu umma kwakuwa timu ni ya wanachama na mashabiki sio ya viongozi pekee.
magoti yote kwishney, mashuti hatakuwa hapigi tenaAtarudi kapauka kabakia rasta 2πππ