Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,947
- 19,131
Aisee kweli mpira ni vita sasa ni wazi kumbe Simba alikuwa akipambana na hujuma kali kutoka kwa timu 4 ili asiingie robo fainali.
Timu hizo ni Wydad ambaye aliamua kucheza mchezo mchafu na kwenda kuwahonga Asec wamuachie goli ashinde kwa uhakika.
Timu nyingine ni Asec ambao walikubali kula hela na kuwaachia Wydad wafunge goli la mserereko
Watanzania wenzetu Yanga aka Utopolo nao wakaifanyia Simba mchezo mchafu wa kuwapokea wapinzani wa Simba na kuwapa mbinu za nje na ndani ya uwanja.
Lakini hata hivyo Simba aliwashangaza wote kwa kumkung'uta Galaxy goli 6 na kuweka rekodi mara ya pili mfululizo kwa ushindi mkubwa zaidi katika hatua ya makundi, baada ya ule wa 7-0 dhidi ya Horoya