Simba kama mpira umewashinda? Chezeni pool maana ndio mchezo ambao matokeo yake hupatikana mezani

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
MWENYEKITI wa Kamati ya Sheria kamaliza kila kitu.

Anasema ripoti za refa na kamisaa zinapishana mpaka ktk matokeo ya mechi ya Kagera vs Lyon.

Mmoja anasema iliisha 2-0, mwingine anasema iliisha 2-1.

Anasema wameshangaa pia kuona refa alitumia email address ya refa mwenziye kutuma ripoti badala ya kutumia ya kwake.

Anasema kama Fakhi alipewa kadi mechi ya Lyon basi kabla ya kucheza na Simba tayari Bodi ya ligi ilipaswa kuwa inajua Fakhi ana kadi 3 na hastahili kucheza na wala sio kusibr Simba walalamike ndio waanze kuchunguza kadi.

Anasema kutokana na madudu waliyoyaona basi wameamua kufanya kazi kama trafick akikamata gari atakagua leseni,kadi ya gari,indicators, angle etc..

Kuna jipu wanataka kulitumbua, na JELA WATU ZINA WAHUSU
 
I wish ningekua [HASHTAG]#Rais[/HASHTAG] wa Tff hawa jamaa ningewapa pointi 6.

Naona kuiba kombe wameshindwa sasa wameaumua kuingia street
 
*Uchungu zaidi ya leba*
31/12 Mwadui 2-1 Kagera Suger
14/01 Kagera 2-0 Ndanda
18/01 Kagera 2-1 A. Lyon
30/1 Kagera 2-1 Mtibwa
15/2 Prison 0-0 Kagera
20/2 Toto 1-1 Kagera
04/3 Kagera 1-0 Majimaji
02/4 Kagera 2-1 Simba
08/4 Kagera 0-0 Ruvu Stars

Ina maana
Mtibwa
Prison
Toto Africans
Majimaji waliocheza na Kagera kabla ya Simba hawakuziona hizo kadi? *Ngoja tulimiliki kombe moja kwa moja*
 
Povu hili

Maandamano FC a.k.a Mapovu FC wanataka wawe mabingwa by Hook or by Crook.

Simba hawajielewi yaani toka kuongoza ligi points 8 hadi kuomba promotion...??? Daaah hii Kali aisee..!!
*Uchungu zaidi ya leba*
31/12 Mwadui 2-1 Kagera Suger
14/01 Kagera 2-0 Ndanda
18/01 Kagera 2-1 A. Lyon
30/1 Kagera 2-1 Mtibwa
15/2 Prison 0-0 Kagera
20/2 Toto 1-1 Kagera
04/3 Kagera 1-0 Majimaji
02/4 Kagera 2-1 Simba
08/4 Kagera 0-0 Ruvu Stars

Ina maana
Mtibwa
Prison
Toto Africans
Majimaji waliocheza na Kagera kabla ya Simba hawakuziona hizo kadi? *Ngoja tulimiliki kombe moja kwa moja*
 
Mtasema sana nyie wakimataifa maana yake kupigwa 4G? Nendeni mkaogelee pale Jangwani hongera kujenga Swimming pool
 
Cha ajabu hizi data hata to efu efu hawana!! Mbeleko fc ni shidoooo!!
 
Kesho wanataka kuandamana
Akili za viongozi na mashabiki wao zinafanana wamezoea vurugu na kuvunja viti sasa kesho wanataka kuleta uchochezi
 
Ndio maana huwa sishabikii kabisa soka la Tanzania..

Hii nchi kila sehemu ni vitimbi
 
Kesho wanataka kuandamana
Akili za viongozi na mashabiki wao zinafanana wamezoea vurugu na kuvunja viti sasa kesho wanataka kuleta uchochezi
Kesho wanataka kuvunja amani, wanadhani itakuwa poa kama walipovunja viti!!
 
Nimesoma vizuri barua ya simba kuhusu kuandamana

'Wanataka kuandamana kuanzia msimbazi hadi zilipo ofisi za wizara ya michezo ndio *OFISI ZA WIZARA YA MICHEZO*

*Tunakumbushana ofisi za wizara zipo Dodoma*
 
Sijaandamana kitambo sana.
Mi nashabikia ndala FC ila nitaandamana na Mikia FC kupinga maandamano yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…