Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,846
- 39,580
Ni kweli hajui Kifaransa, lugha ambayo baadhi ya wachezaji wa Simba wanaongea, lakini weledi wake kwenye kusaidia mambo ya kiufundi ni mkubwa sana.
Simba isipoteze muda, imrudishe Mgunda kwenye Benchi la Ufundi kabla timu haijaharibikiwa kabisa.