Simba inaangamia roho inauma

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Oct 6, 2023
435
1,092
Habari

Mimi nishabiki kindaki ndaki wa YANGA,yani nikichanjwa damu inatoka na jina la YANGA.

ILA kusema ukweli naumia sana tena sana,simba inapoelekea.

Mpira wa Tanzania ni wa YANGA NA SIMBA sasa kama simba itaangamia YANGA itakuwa na hali ya huzuni kweli.

Sipo hapa kwa unafiki ila kiukwel naumia.

Simba please do something.
 
Ni sahihi, hakuna mwana mabadiliko na mwana maendeleo na mpenzi wa soka anayefurahia anguko la Simba.

Nimeona video moja Kamwe anaongelea mchango ulioanzishwa na viongozi wa Simba kwa ajili ya kutafuta mshahara wa wachezaji. Hio sio sawa, please Pamoja na kwamba mi ni Yanga, tunaomba mkae chini na muyamalize kwa mustakabali wa soka letu.
 
Habari

Mimi nishabiki kindaki ndaki wa YANGA,yani nikichanjwa damu inatoka na jina la YANGA.

ILA kusema ukweli naumia sana tena sana,simba inapoelekea.

Mpira wa Tanzania ni wa YANGA NA SIMBA sasa kama simba itaangamia YANGA itakuwa na hali ya huzuni kweli.

Sipo hapa kwa unafiki ila kiukwel naumia.

Simba please do something.
Kwani shida iko wapi simba kufungwaa?? Mbona hata timu za ulaya kubwa zinafungwaa??
 
asa wew kama ni Yanga unaumia nin Simba kuangamia Ndio maana mayele anawatukana ovyo dundukaaa mkubwa we
 
Wana kombe la ngao ya hisani
Kama watashinda mechi Yao tunakuwa tumewaacha kwa point 4 huku bado michezo kibao imebaki
Wamefika robo final kama sisi
Katika miaka minne waliyotamba tukiwa hoi hawakuwahi kusema tunaangamia Wala usi underestimate Simba
Tuchukue kombe mara Sita ndio tuone kama wanaangamia au lah
 
Hawa ni wapuuzi
Yaaani washabiki wa tanzania huwa wanakera saana. Nikujifanya wajuaji kwa kila kitu. Suala simba kufungwa ni jambo la kawaida kabisa, na wala halihusiani na mwekezaji wala viongozii. Timu kubwa za ulayaa zinatandikwaga tuu na timu ndogo na wala hatujaona matusi kama haya yakwetu. Mbona mamelod pamoja na kuwa na kikosi chenye thamani kubwa, nani asiyejua kwamba walifungwa na yanga? Mpira unadunda, mashabiki wa tanzania tujitaidi kuvumilia timu zetu kwa kila hali.. hata leo simba au timu yoyote ikisajiri hao wachezaji wenye viwango watupu, haimaniishi kwamba ni zuio la timu kutokufungwaa. Mpira unadunda. Tuwe wavumilivu, tuwatie moyo wachezaji wetu tusiwavunje moyoo, bado safari inaendelea.
 
Kwani shida iko wapi simba kufungwaa?? Mbona hata timu za ulaya kubwa zinafungwaa??
Shida ni Simba kufungwa mfululizo na kila timu iwe ndogo (Prison na Mashujaa) au kubwa Yanga 5-1 na Al Ahly 3-0 Aggr, hilo ni anguko la wazi na si la kupuuza maana mashabiki wa mbumbumbu fc wanahuzunika sana!!

Na kufungwa sana kumesababisha makolo kuwa na hasira kali ni hatari kufanya nao utani au urafiki maana wamejaa sumu ukitania kidogo tu unakula makonde aka vitasa kama vya Twaha Kiduku!!
 
We ndio umeandika kwa jazba na ujuaji. Hakuna mpenda soka anayefurahia migogoro na anguko la Simba. Tulishatoka huko mkuu.
Acha unafiki na kujifanya ndumila kuwili nyiny si ndio mlikua mnapokea had wagen wa simba had mnavaa jezi zao mkiongozwa na Raisi wenu leo mnajifanya mna uchungu na Simba narudia tena acheni unafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom