Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 18,469
- 28,312
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu ....
But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa soka hapa jf... kuhusu hatima ya timu yangu ya SIMBA Kwa sababu naona haitokuja gusa zile top 3 since uimara wa Yanga ..... Azam...na Al hilal utaifanya Simba kuendelea kugombania top 4 na kina kmc ...coastal na ihefu
Nb: hii habari ya kuleta Al hilal....imekaza vibaya Kwa timu yangu ya Simba ...since huu utakuwa ni mwisho wa Simba kuwa top 3