Simba Bado inacheza mpira mbovu

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
5,739
8,002
Bado sijaelewa kama hawa wachezaji wa Simba wana kazi nyingine zaidi ya mpira au namna gani? Bado wachezaji wetu wanafanya makosa madogomadogo na wanakosa seriousness.

Bado wachezaji wetu wanaendelea kuwa na tatizo la ball control, possession ya mpira kwa wachezaji bado shida.

Pass accuracy hasa eneo la mwisho ni shida na pia bado wachezaji wana ubutu wa macho.
 
Bado sijaelewa kama hawa wachezaji wa Simba wana kazi nyingine zaidi ya mpira au namna gani? Bado wachezaji wetu wanafanya makosa madogomadogo na wanakosa seriousness. Bado wachezaji wetu wanaendelea kuwa na tatizo la ball control, possession ya mpira kwa wachezaji bado shida. Pass accuracy hasa eneo la mwisho ni shida na pia bado wachezaji wana ubutu wa macho.
Zile 5 bado zinawalevya.
 
Kitu kinachowatesa Utopolo, Simba bado Wapo gado...

Walitegemea uto Wakiwa juu ,Simba iwe imetepeta kama Wao enzi za Papaa Zahera..! Lkn wapiiii , Mnyama bado ni Bora, Bora Bora sana Kiasi Cha kuwa 7 bora Afrika.. hiki kinawaumiza Sana... Imebaki propaganda za mpira mbovu..!

Uto Vumilieni tu, ndio Soka lilivyo..
 
Nimeona washambuliaji walioletwa kuchukua nafasi za phiri na baleke nimebaki ninacheka tu, Hawa ndio tegemeo kwa Simba?
Katika kipindi ambacho John Boko atapata nafasi ya kucheza dk 90 ni Sasa, kwa washambuliaji wapya hakuna wa kumweka bench.
Mchezaji pekee atakaye pata nafasi ni karabaka si kwakua kafunga goli, ni mchezaji anaye cheza kwa akili na Kasi aliyonayo ita msaidia Sana.

Waliobakia siwaoni katika dirisha lijalo la usajiri wakiendelea kuwepo.
 
Katika kipindi ambacho John Boko atapata nafasi ya kucheza dk 90 ni Sasa, kwa washambuliaji wapya hakuna wa kumweka bench.
Mchezaji pekee atakaye pata nafasi ni karabaka si kwakua kafunga goli, ni mchezaji anaye cheza kwa akili na Kasi aliyonayo ita msaidia Sana.

Waliobakia siwaoni katika dirisha lijalo la uswakiendelea kuwepo.
Kwendraaa....wivu utawaua..
 
Kitu kinachowatesa Utopolo, Simba bado Wapo gado...

Walitegemea uto Wakiwa juu ,Simba iwe imetepeta kama Wao enzi za Papaa Zahera..! Lkn wapiiii , Mnyama bado ni Bora, Bora Bora sana Kiasi Cha kuwa 7 bora Afrika.. hiki kinawaumiza Sana... Imebaki propaganda za mpira mbovu..!

Uto Vumilieni tu, ndio Soka lilivyo..
Hahaaaaa mngekuwa bora msingekula mkono wa nyani nyie mabumunda.
 
Back
Top Bottom