Sikuwahi kuwa na imani na msigwa tokea 2018!!

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,808
20,223
Wenye kumbukumbu mnakumbuka tokea 2018 kipindi cha vuguvugu la maandamano ya tarehe 26/04/2018 mswiga alimsifia magufuli na ccm hapo nikaanza kupata mashaka

Akakamatwa wakati wa kutolewa dhamana ikalipiwa na ccm jamaa akatoka akawa huru

Pili alikua na ukaribu na ccm tokea mda tu, huenda huyu alikua ni miongoni mwa watu loyal wa mfumo walokua chadema kitambo tu

Msigwa Mungu ni mwema kahamia ccm!! Nimefurahi sana maana mungu katuondolea huyu msaliti upinzani!! Japo ni dhahiri kabisa roho inaonekana inamsuta kuvaa manguo ya kijani lakini ndo safari yake ya kisiasa imefika mwisho!!

Msigwa anaenda ccm wakati ambao ccm haikubali kabisa hapa tz wakati ambao wananchi wanaichukia serikali kupita maelezo!!

Huu ndo mwisho wa safari ya kisiasa ya msigwa!! Kukiwa na uchaguzi huru msigwa hatokaa aje kuwa hata mtendaji au mwenyekiti wa nyumba nne!! Jamaa amejimaliza mwenyewe yes natamani wasaliti wote waondoke!!

Mimi hamna mtu namwamini kama Lissu na watu wengine kadhaa....Mimi ninamuamini lissu kupita maelezo!! Ndo mtu pekee namuamini kupita maelezo huko chadema!!
 
Baada ya greyson msigwa kupatiwa kitengo ikulu, familia nzima ilikuwa compromised
 
Ungelisema haya kabla ya Mch. Msigwa hajahamia CCM hata Wana Chadema wenzako wangelikuelewa!
 
Back
Top Bottom