Niseme ukweli kuwa nampongeza mwekezaji kuamua kusajili vijana wadogo ambao ni wazi wengi hupambabana kuonesha uwezo wao kwani wanahitaji kuendeleza vipaji na vipato vyao kupitia soka.
Pamoja na hayo kuna kitu kinanishangaza sana.Ni jinsi mashabiki wa Simba wanavyoshangilia usajili kabla hawajakiona kikosi kikicheza.
Isitoshe kuna mwalimu mpya ameletwa ambaye uwezo wake unatiliwa shaka iwapo kweli atamudu kuifikisha timu kwenye hatua za juu kuliko ilipo sasa.
Mashabiki wenzangu kwa nini tusiweke akiba ya maneno tukawaacha waliosajili maveteran watambe na sisi tukawaonesha uwanjani.
Tabia ya kutoa sifa lukuki zinawafanya wachezaji wanavimba vichwa na wanaamini wao wana uziada kiasi kwamba wakiingia uwanjani wanacheza kibishoo( kistaa) na kuharibu.Mfano mzuri ni Onana,Babacar Sarr n.k.
Mimi nitakuwa wa mwisho kushangilia usajili hadi nione matokeo ya timu uwanjani.