Kuna changamoto kubwa katika ufundishaji wa hii part ya chemistry ukitaka kujua chemistry ni rahisi sana hata kwa mjinga kufauku bila kusoma na kuelewa kwa sababu wengi Wana kalili sana, tatizo kubwa hata walimu wa Hilo SOMO wakifika kwenye hivi vipengele hawajui kuelewesha wanafunzi kama unaielewa chemistry upande wa organic tafuta wanafunzi wa A level , uliza chochote kilichomo kwenye organic chemistry ukizingatia mitaala yao. Kisha niletee majibu , wape presentation wanafunzi wa vyuo wa chemistry niletee majibu.
Utagundua yafuatayo:
1. Hawajui kipi ni kipi na kilianzaje, msingi muhimu wa kemikali husika zimetokeahe
2.wanakalili sana formula na michoro ya kemikali huku misingi ni duni
3.walimu wabovu unawezaje kuwa mwalimu wa somo unaefundisha kwa maswali kabla ya topic eti kisa ni darasa za mitihani
Kuna changamoto nyingi sana hapa.