johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,105
- 164,495
Nimejaribu kupitia kumbukumbu zake mbalimbali mitandaoni na magazetini tangu akiwa mwanasheria wa Mazingira hadi Siasani NCCR na sasa Chadema kiukweli sijakuta Uwongo wa huyu Mwamba
Ni nadra sana kuwapata wanasiasa wa aina hii Katika Dunia ya Leo
Nimekuwa nikiwafuatilia sana Tundu Antipas Lisu na Julius Malema lakini kwa kipengele cha " Mtu Mkweli" Lisu yuko vizuri
Mlale Unono 😄
Ni nadra sana kuwapata wanasiasa wa aina hii Katika Dunia ya Leo
Nimekuwa nikiwafuatilia sana Tundu Antipas Lisu na Julius Malema lakini kwa kipengele cha " Mtu Mkweli" Lisu yuko vizuri
Mlale Unono 😄