Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo Papa mweusi, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
8,285
9,664
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.

Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?

Nawasilisha.
 
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini. Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?
Nawasilisha.

MTU mweusi anabidi kuongozwa kwakuwa Ana mihemko hatumii Akili
 
Halafu itakusaidia nini ukijua! Kama serikali yako ya ccm kila siku inawabagua waziwazi wananchi na viongozi wa vyama vya upinzani; kwa nini usilete hoja tuwajadili kwanza hawa wabaguzi wetu wa ndani kabka ya kukimbilia kwa hao wa nje?
Tate Mdodo, kwanini usiilete hiyo hoja yako na kuacha yangu kama ilivyo? Sidhani kama tuna uwezo wa kuona jambo moja wa lens moja mwanangu tate mdodo.
 
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.

Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?

Nawasilisha.
Sio kanisa la rangi za watu.
 
Ingawa sio hivi karibuni lakini Saint Victor 1, Saint Miltiades, Saint Gelasius walizaliwa Afrika. Pope Francis alitokea Latin America.
Lakini kama ulivyoulizwa hapo juu, itakusaidia nini?

Amandla...
 
Aliekwambia uadhini ni Nafasi ya chini ni nani au umesoma wapi??

Unajua hiyo nafasi ina heshima Gani kwenye Mafundisho ya kiislamu??

Au unachukulia mfano wa misikiti ya hapo mtaani kwako ku generalize jambo zima??

Fatilia waadhini wa Misikitini kama makka na madina namna wanavyopatikana na heshima yao.
 
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.

Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?

Nawasilisha.
“Enyi watu! Hakika Mola wenu ni mmoja, na baba yenu ni mmoja. Hakuna ubora wa Mwarabu juu ya Asiayekuwa Mwarabu, wala asiye Mwarabu juu ya Mwarabu, wala mweupe juu ya mweusi, wala mweusi juu ya mweupe—isipokuwa kwa **taqwa (kumcha Allah).”
Mtazamo wa kiislamu
 
come on, man, Kanisa Katoliki lina miaka karibia 2000, Kanisa la kwanza tanzagiza lilijengwa miaka < 150 iliyopita, halafu unaquestion kwa nini hakuna Papa mweusi? na kwa nini kutokuwa na mtu mweusi popote kunafanya mtu kuwa racist? watu weusi ni asilimia ngapi ya world population? kwa nini hauhoji racism against black people in afrika by black people? angalau ungeuliza kwa nini hakuna Papa ktk damaskus Siria kidogo ungekuwa na hoja kwani Kanisa la Damascus lina miaka zaidi ya 2000, afrika ukatoliki umeingia karne moja tu iliyopita leo unataka iwe sehemu ya Kanisa kila mahali ?

kwa nini hauquestion wahindi tanzagiza hawafiki hata laki 2 lkn wanamiliki >85% of the economy mbona hauiti racism tanzagiza?
 
“Enyi watu! Hakika Mola wenu ni mmoja, na baba yenu ni mmoja. Hakuna ubora wa Mwarabu juu ya Asiayekuwa Mwarabu, wala asiye Mwarabu juu ya Mwarabu, wala mweupe juu ya mweusi, wala mweusi juu ya mweupe—isipokuwa kwa **taqwa (kumcha Allah).”
Mtazamo wa kiislamu
Wanahubiri maji na kunywa mvinyo kama kawaida yao. Tunataka huu usawa kwa vitendo siyo ngano na ngonjera za alfleilaule za kulaani.
 
Fz
come on, man, Kanisa Katoliki lina miaka karibia 2000, Kanisa la kwanza tanzagiza lilijengwa miaka > 150 iliyopita, hakafu unaquestion kwa nini kwa hakuna Papa mweusi? na kwa nini kutokuwa na mtu mweusi popote kunafanya racist? watu weusi ni asilimia ngapi ya world population? angalau ungeuliza kwa nini hakuna Papa ktk damaskus Siria kidogo ungekuwa na hoja kwani Kanisa la Damascus lina miaka zaidi ya 2000, afrika ukatoliki umeingia karne moja tu iliyopita leo unataka iwe sehemu ya Kanisa kila mahali ?
Fact Kijana wa sisiemu huyu
 
Wazungu wa Ulaya na wale wa America wana YESU.
Waarabu woote wana MOHAMMED.
Waafrika weusi tuna shetani na mfano wa picha yake ni ya kutisha,ina mapembe na meno chonge.

NB;
Mgawanyo wa hayo madaraja umefanywa na Wazungu. Hairuhusiwi mtu wa Shetani akapewa hisa za YESU,bali aendelee kuwa mpenzi mtizamaji na msikilizaji.
 
Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini.

Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi sawa na uislam?

Nawasilisha.
Kwa miaka ya karibuni hakuna, kitambo waliishatokea mapapa weusi/ wenye asili ya kiafrika watatu kati ya miaka 180 - 500 hapo, tena mmoja ndo alipitisha na kutoa amri pasaka isaliwe jumapili tu na isiwe na fixed data kama Chrustmas.
 
Nenda kachimbe wewe, usiwe mvivu, waliishatokea mapapa weusi/ wenye asili ya kiafrika watatu kati ya miaka 180 - 500 hapo, tena mmoja ndo alipitisha na kutoa amri pasaka isaliwe jumapili tu na isiwe na fixed data kama Chrustmas.
Soma uzuri. Nimeandika siku za hivi karibuni. Hso unaosema nawajua.
 
Back
Top Bottom