Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,080
Hapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.
Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na yanakera sana.
Hivi mtu anategemeaje ufanye kitu ambacho hujamwambia??
Wanawake eleweni kwamba wanaume hatuwez kila siku kujua mnachotaka bila kutuambia, hatuwezi kusoma akili zenu kila siku.
Wazee mnaoishi na wanawake, mnatumia njia gani kupunguza stress, maana nahisi nawehuka.
UPDATE;
Kuna watu wame suggest niwe specific, nielezee angalau what I'm going through, okay vitimbwi ni vingi na vyote vinasababishwa na her ways of communicating with me pamoja na ubishi.
Mfano kuna siku tulikuwa tunatoka, na sehemu tuliokuwa tunaenda lazima kuna sehemu uache gari uzunguke kwa mguu, so yeye alikuwa amevaa viatu ambavyo ukiviangalia tuu havifai kwa kutembelea vitamuumiza, nikamshauri vua hivo viatu vaa raba, tunakoenda tutatembea sana alaf hivo viatu vitakuumiza, bhana si akakataa, nikamwambia haya mama twende, sasa tumefika huko tukaanza kutembea nikaanza kumsikia anaanza kusonya, mara analalamika tunatembea sana ila shida ilikuwa ni vile viatu na ukimwambia anagoma kabisa anasema shida sio viatu.
Kwann hii ilinipa shida, kwasababu yeye akiwa kweny maumivu automatically na mm nipo kweny maumivu.
Badae nikachoka kuvumilia ikabidi nimnunulie sendo za kawaida kweny duka tuliokutana nalo njiani.
Hawa viumbe ni pasua vichwa.