Sikujua kama wasemaji wa sasa wa CHADEMA ni Lowassa na Makongoro Mahanga

Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,697
3,263
Siasa zimepata mkunaji sasa. Wasemaji wanaoonekana kwenye vyombo vya habari ni hao. Wanazungumza kwa niaba ya upinzani wote. Hivi najiuliza Tanzania tuna upinzani kweli au masihara. Halafu eti tuwasindikize waende Ikulu hawa.

Kiukweli kabisa hata Mungu atatuadhibu vibaya sana. Haiwezekani hawa walioishi mpaka kuzeekea ndani ya chama tawala eti leo wanataka mabadiliko. Yapi hayo! Wamepata akili mpya kutoka wapi!.

Wajameni tusije tukaacha mbachao kwa msala upitao.
 
Makongoro huyu aliyechukua eneo la wakazi wa tabata ambalo palitakiwa kujenga kituo cha afya, akajenga ukumbi wake wa Nyantare anakodisha wenye sherehe na kipindi cha uchaguzi akakamatwa na masanduku ya kura, alafu leo eti anazungumzia demokrasia hizi si comedy . Hapo bado hujamgusa baba la baba la ufisadi Lowasa (Richmond na Dowans) dah, ujue sometime nahisi upinzani wanatuona kama mazoba, vilazer, mazumbukuku nahisi kama wanatuzarau.
 
Lowasa anasema hii nchi inabidi itawaliwa na chama kongne inatkiwa tufanye mageuzi cyo kila soku CCM tu...swli langu ni kwamba alpokuwa ccm hakuyajua haya ndo anayajua leo au ndo unafiki wa kisiasaaa amekaa CCM zaid ya miaka 20 na kuitetea hyo ccm na alikuwa kiongoz mkubwa kweli hii nso Tanzagizaaa
 
What has that got to do with you? That's no skin off your nose to smell. The best thing you can do is tell us how you squandered the condolences of the 33 school girls and boys of arusha school. Aliyewaambia maua worth 9 mln yalikuwa ni muhimu sana
 
Wewe muhongo pale ni ni eneo la masoko na makongoro kapanga tuuu usidanganye watu humu wewe ni muongo mkubwa
Tanzania hakuna upinzani.

Hao so called wapinzani ni CCM B.

Ni pande ya sarafu ile ile tu.
 
kasuku mtu mpaka useme makongoro atalirudisha, we msemaji wa makongoro haya je mpaka sasa limerudishwa acha kutetea ujinga na kama hujui ktk kampeni za 2015 za CCM, za kuchuja wagombea wa jimbo la Segerea, aliulizwa swali kuhusu hilo eneo akashindwa kujibu.
 
Je tukiwafukuza hao mtaacha kuiba kura maana hizo porojo haziondoi ukweli kuwa ccm aka gamba la nyoka aka chama cha majambazi ni wezi wa kura.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…