Fikiri mtu anafanya kazi mashamba ya maua(mengi yapo karibu na mijini) analipwa gross 77,000, net <=68,000
Kodi ya nyumba 20,000 - 25,000/mwezi.
Mafuta ya taa lita 2,200 x?
Sukari kilo 2,800 x?
Mchele kilo 1,800 x ?
Unga kilo 700 x ?
Nyama kilo 5,000 x?(starehe!)
Mafuta ya kupika lita x?
Matibabu?
Shule?
etc x ?
77,000-(matumizi hapo juu)= ?????(tafakari!)