Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 27,340
- 65,830
Huniambii kitu hata!
Mimi siingilii Uhuru wa maonî ya Watu walah!
Kûna waliniita Mario,
Kûna waliniita Serengeti boy,
Kûna waliniita kibenteni.
Basi kama mjuavyo Siku hizi Vijana Hawana Kazi, na kama nimetoa Ajira Kwa Watu kunitungia Majina na huenda Kwa Mwezi wanapewa Pesa za kujikimu Maisha Yao. Hilo ni Jambo jema la kushukuru.
Yàani Mimi niachane na huyu shangazi Kisa Kazi mliyojipa ya Kunitungia Majina? Thubutu!
Nyie endeleeni na majukumu Yenu nami naendelea na majukumu yàngu. Kîla Mtu Afanye analoona linampa faîda.
Ooh! Tàbia mbaya, oooh! Siô Mila Wala siô desturi! Mila na desturi kwèñu NI kufuatilia yasiyowahusu? Ooh! Utaharibu Maisha yako! Mara utakufa na Ukimwi, mara sijui unajipa Mikosi.
Niache kuendesha Dungu Kisa maneno Yenu yasiyo na mbele wala Nyuma.
Ingenichukua Miaka mingapi kuendesha huu Mpira, eeenh! Gari ya Milioni Mia Mbili ingenichukua Miaka mingapi kuimiliki wewe Bata mzinga!
Mmekuwa wambeya Kazi kupeleka tàarifa zangu Kwa Wazazi wangu baàda ya kuona nimewapuuza.
Hamna ushahidi na Wazazi wangu Wanaona ninyi kama ma- snitch mliokosa chakufanya.
Niliwaambia mfungue gazeti la kijiji la udaku ili Mpate Pesa mkiwauzia wanakijiji chetu habari zangu lakini Akili hizô hamna.
Shangazi kajaa kama pishi la mchele.
Nyama Nono Kama samaki Maji chumvi.
Shangazi kasheheni kama kamisheni ya michezo ya kubahatisha.
Jimama la Haja paja laini kama nyama ya ulimi
Nihangaikie Mpira wa Kona Wakati nimepewa Kúpiga penati. Yàani nianze kujichorachora, sijui Kúpiga Mpira ndîzi wa Kona gombania goli ilhali refa kaita penati. Ushaambiwa penati nusu bao wewe ulitaka nifanyeje. Ulitaka nipande Daladala ya Mbezi Kariakoo niwekwe Foleni Siku nzima Wakati kûna Mwendokasi.
Wewe kapige Kona Huko, Mimi tayari nishabutua penati na ubao unasoma.
Miaka mitatu Sasa toka niwe na shangazi, sikujua kuwa shangazi langu linamapengo, shangazi kibogoyo.
Kumbe alinificha aliogopa mwenyewe ati nikijua nisingekubali kuwa na yeye kisa kibogoyo😊.
Jana nimemfumania.
Nimetoka zangu Mjini narudi home nakuta kwèñye dressing table Meno ya bandia. Kheee! Kulikoni Meno ya Nani tenà.
Nikasema niyachukue niyafiche. Nikayaweka mifukoni. Hazikupita dakika Mbili shangazi langu Hilo. Anatoka Mwili umeteteka, Mashallah.
Hajanisemesha kitu Macho Yake kwèñye dressing table. Alishtuka kutokuona Meno Yake.
Siku Ile ndîo nilijua umuhimu wa Meno hasa Meno ya mbele.
Shangazi anaongea maneno yanateleza na hayashikani kama msambaa WA bumbuli Huko. Kûna Muda nilikuwa nataka kucheka lakini nikikumbuka funguo ya ndinga aliyonipa najikaza. Kûna Wakati uvumilivu ukanishinda nikakimbia Washroom, nikacheka Huko Kisha nikarudi.
Mwisho WA mwaka tunasafari ya kwenda Dubai, Korea Kûsini Kisha tutarudia South Africa.
Wachawi zidisheni Kafara na matambiko Huko maana njia za kawaida mmenishindwa. Sasa safari ya ndege Kwa masaa walau manne Mpaka sita itanihusu. Haya ningeyapatia Wapi haya!
Nataka nisafiri Dunia nzima na shangazi. Ninyi bakini Hapo bongo mkiwa mmechunda.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam