Sikubaliani na Sera za Mbowe, lakini Hotuba yake ni Akili kubwa

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,976
6,230
Sikubaliani kabisa na huyu ndugu yangu mbowe na kwa upande wangu anakosa sifa hata za kuwa mgombea wa JMT kupitia chadema. Mimi ni mwana CCM by birth , ila hotuba ya Mbowe leo, CCM wenzangu tujiulize tunakwama wapi ?

Ule mmpango wa Mwalimu kuchota all creams kuanzia mashuleni aliuua nani ? Viongozi wengi kwa sasa most of them ni failures

Hivi mlitegemea Mbowe ataongea nini?

Mmeaibishwa mbele ya Rais ; pole Mama Lowasa najua hukutaka kusikia hayo but truth must be told na intellectual minds kama Mbowe.

iwekwe wazi Lowasa alikuwa mtumishi wa CCM lakini pia alikuwa mtumishi wa Chadema , that line was supposed to appear.

CCM imevurugika, nchi imeoza, na kuoza na kutoa Funza……. Pamoja na madhaifu yake JPM was the best president hata iweje hata mforce vipi ionekane tofauti.

Kwa sasa nchi inaongozwa na watu hata hawaeleweki, academic failures, nchi imekua yoyote anaweza kuwa chochote, ni ujanja wako. Zamani tulikuwa na watoto wa masikini wengi, lakini walikuwa wanafika kwenye position za nchi kwa brain zao. Sio sasa.

Nawaambia CCM, shikilieni hapo hapo hakuna tume huru, the minute mnaruhusu tume huru, hakika hamtoboi hata 20% of the total vote .

Any rational man hawezi kuichagua CCM ; kuna yoyote anajua nchi inaenda wapi ? Hata Mama hajui na ndio Rais , wewe nani ujue
 
Maji usipoyaoga utakunywa tu
 
Yote umeongea hapo juu umeonesha kuwa mtu mwenye akili na sio akina kabuchu wasiojula kwamba ccm ni chama kama CHADEMA na vinginevyo.

Ila umeharibu hapa tu: "....Pamoja na madhaifu yake JPM was the best president hata iweje hata mforce vipi ionekane tofauti." Ni kilaza yeyote anayefikiri hivi.
 
Sometimes sio kila ukweli unakubariwa ukweli mwingine unapingwa ndio maana halisi ya upinzani
 
Any rational man hawezi kuichagua CCM ; kuna yoyote anajua nchi inaenda wapi ? Hata Mama hajui na ndio Rais , wewe nani ujue
 
Nilidhani utaweka Hoja zako Ubaoni.. !
Najaribu kuwaza hasa ni nani Kilaza... Kati ya Mtoa ambaye hoja zake zipo wazi, ama wewe...!!
 
Nilidhani utaweka Hoja zako Ubaoni.. !
Najaribu kuwaza hasa ni nani Kilaza... Kati ya Mtoa ambaye hoja zake zipo wazi, ama wewe...!!
"....Pamoja na madhaifu yake JPM was the best president hata iweje hata mforce vipi ionekane tofauti."

Sentensi kama hizo hapo juu lazima zitoke kwa vilaza tuu. JPM alikuwa best president?!.....!?
 
Kamfuate huyo shetani wako
 
Pamoja na kueleza kwamba hakuna ajuaye Nchi inakwenda wapi lakini unawasisitiza Ccm washikilie hapo hapo maana wakiruhusu tume huru wameenda na maji 🙄😅😅 !

Kwahiyo ni sawa tu tuende wote huko unakosema kusikojulikana ??!
😅😂😂 Hatari sana !
 
I second you Son!
Nimekuwa CCM kwa muda mrefu ila siasa zinazofanywa kwa kipindi Hiki dhahiri zinadhalilisha Chama..

Yaani mpaka huwa Najiuliza mtu wa sera CCM ni nani na nani hasa mshauri wa Viongozi..

Maana anatumia System ya zamani sana Ya propaganda kwenye Morden Society bhasi inabidi watume watu wengine kwenda kusoma propaganda mpya maana hizi za saa zinafail sana na soon wataumia
 
CCM wanatumi mbinu za nchi za Ulaya Mashariki mara tu baada ya kusambaratika kwa USSR, miaka ya 90. Ni mbinu za kushamba sana, na kinajiita chama kikongwe kilicho komaa ila kina mbinu za kitoto mno na za kizamani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…