Siku zote Lissu hushinda katika ushindani mgumu

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
19,265
48,614
1. Mstaafu Kikwete aliwahi kutamka kuwa ni aheri Dr Slaha ashinde Urais kuliko Tundu Lisu kushinda ubunge. Kauli ile, indirect ilikuwa maagizo kwa CCM nzima pamoja na taasisi zake kuhakikisha Lisu hawi mbunge. Katika uchaguzi mgumu kabisa, matokeo yake Lisu alishinda na kutangazwa kuwa mbunge.

2. Wakati wa uchaguzi wa TLS, serikali ilifanya kila hila na njama kuhakikisha Lisu hawi Rais wa TLS. Walimkamata na kumweka ndani, wakamwachia siku ya mwisho, wakijua amekosa muda wa kufanya kampeni, na anaweza asiwahi uchaguzi, Lisu kwa kutumia ndege ya kukodi, akawahi uchaguzi na akawa mshindi na kutangazwa kuwa Rais wa TLS.

3. Marehemu alifanya kila mbinu, na hata kuhakikisha hawepo kabisa Duniani, matokeo yake akawa mgombea aliyempa simanzi na ushindani mkali, kwa nguvu za dola CCM wakasalimika.

4. Leo, uchaguzi wa chama, haukuwa Rais, na hasa CCM na Serikali walipoingilia na kuonekana kumpigia kampeni Mbowe, lakini Lisu ameshinda.

☆☆ Nawahakikishieni, hata kwa mazingira mabaya ya uchaguzi, wananchi wakiweza kuyadhibiti japo kwa 70%, uchaguzi wamwaka huu, kwa mara ya kwanza CCM kitakuwa chama rasmi cha upinzani.

Wanaotaka mabadiliko wote, wa vyama vyote, huu ni wakati wa kusimama na Lisu, kuhakikisha mabadiliko ambayo wengi wameyatamani kwa miaka mingi, yanatimia.
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wanaotaka mabadiliko wote, wa vyama vyote, huu ni wakati wa kusimama na Lisu, kuhakikisha mabadiliko ambayo wengi wameyatamani kwa miaka mingi, yanatimia.
Naunga mkono hoja ✍️
Umma wa Watanzania kwa ujumla wao wanahitaji mabadiliko sasa, na kwa kuwa hayawezi kupatikana sisiemu, ni muhimu kuyatafuta kwingine.

Baba wa taifa mwalimu Nyerere alitabiri hilo...

View: https://youtu.be/cJg8bwg2ZX8?si=WYdJUP380spFpP2U
 
Back
Top Bottom