Naipenda sana Nchi yangu. Napenda jitihada za viongozi waliopewa dhamana katika kusimamia rasilimali zetu. Ninachojiuliza hivi Tanzania kuna Nchi yeyote tumewekeza mitaji yetu kama Nchi nyingine zinavyojitahidi kuwekeza katika Nchi Yetu? Natamani sana kusikia walau kuna Tanzania Bank nchini Uganda, Zambia nk. Itapendeza sana.