Siku Nne zilizopita Nabii Lema alitabiri kung'olewa kwa Kidata TRA, Hatimaye yametimia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,690
239,252
Ushahidi huu hapa

Screenshot_2024-07-02-22-43-42-1.png


Baada ya siku 4 Unabii ukatimia!

Screenshot_2024-07-02-22-43-53-1.png



PIA SOMA
- Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
 
Kiukweli vyeo vya serikali ni Kama betting tuu. Bahati mbaya wengi inabidi tupambane ndani ya huu mfumo dhalimu. Ila kwa vijana mnaoweza, ningewashauri mjitafute kivingine.
 
Back
Top Bottom