UKAWA walitoka siku Waziri mkuu akisoma hotuba yake bungeni.Mvizieni na kiongozi wa upinzani siku hotuba yake ikisomwa Wabunge wote wa CCM tokeni nje awasomee UKAWA wenzie.Tafuteni sababu yoyote ya kutoka.
Ha ha ha! Kumbe ni kutafuta "sababu yoyote" na sio genuine sababu! Kama sababu ya msingi ya kufanya hivyo ipo it's Ok na inakubalika tena ni desturi ya kawaida kabisa kwa mabunge ya kidemokrasia otherwise unaleta kituko.

Halafu siku hiyo KUB akiwakilisha hotuba yake spika na naibu spika wasiwepo awepo mtu yeyote kama mwenyekiti.Ingewezekana angepewa hata Sugu ili KUB awakilishe hiyo hotuba kwa mheshimiwa Sugu AU wampe Lusinde waiwakilishe kwa mheshimiwa mwenyekiti Lusinde
UKAWA walitoka siku Waziri mkuu akisoma hotuba yake bungeni.Mvizieni na kiongozi wa upinzani siku hotuba yake ikisomwa Wabunge wote wa CCM tokeni nje awasomee UKAWA wenzie.Tafuteni sababu yoyote ya kutoka.
Kwani ile hotuba husomwa kusaidia wabunge au jamii yote ya watz. Wakitoka najua bunge litakuwa live so tutasikiliza hotuba kwa makini na muvie itaendlea