Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

KENGE 01

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
1,673
4,114
Salaam wakuu.

KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha"
IMG_20240504_190629.jpg

Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote.

Baada ya Tathmini za Muda mrefu,Nimepata Suluhu kwamba ipo siku huyu bwana anaitwa ZITTO ZUBERI KABWE(Z.Z.K) Atakuja kuwa Rais wa Nchi hii kupitia Chama chake cha ACT wazalendo.

Labda sio leo wala Kesho ila Siku itafika tu.Nimeansa kumsikiliza Zitto zamani kidogo ndio mtu alifanya nipende kusikiliza bunge kwa umahiri wake wa kutengeneza hoja zenye mantiki na akili.Enzi za zamani kidogo Wakati bunge likiwa lamoto Zitto alikua ni Top MP's kwenye kuleta hoja.

Licha ya nyakati mbalimbali alizopitia ikiwemo kufukuzwa CDM,ZZK hakukata tamaa na kuanzisha Chama chake cha ACT wazalendo.Nachofurahi na kukipa Go ahead ni lwamba Alihakikisha ACT haina siasa za Maji Taka kama vyama vingine vya siasa.

Kuwa Mpinzani sio kuwa adui.Upinzani kama CDM wanaamini ukiwa mpinzani inatakiwa upinge na utukane Chama Tawala kwa nguvu zote.Jambo hilo ndio ZZK alilikataa..Bwana yule hajawahi kupelekwa mahakamani kwa kosa la kukashfu,Kutukana viongozi wa vyama vingine.Jambo ambalo linazidi kuiweka ACT kwenye position nzuri.

Nasisitiza kwa kusema KENGE ni mwananchi anaesikitika sana na Utawala wa MKOLONI MWEUSI(Sisiemu) Lakini kwa Mienendo ya tabia za hiki kinachojiita CHAMA KIKUU CHA UPINZANI kwa hizi Siasa zenu na hawa vijana mnaowazalisha wakijinadi mitandaoni (Wapiga spana) basi kuna safari ndefu sana ya kumtoa madarakani Mkoloni Mweusi

Nihitimishe kwa kusema na kwa kujiamini Imeandikwa IPO SIKU ZITTO ZUBERI KABWE atakua Rais wa nchi hii

nawasikisha
Nakaribisha Povu,Tusi,Ushauri nasaa,Wazo,,Makasiriko......
 
Salaam wakuu.

KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha"
View attachment 3044581

Nakuangalia masikioni kwa umakini kama kuna kimiminika chochote kinachuruzika.🤔
 
Back
Top Bottom