Aisee siku hizi shuleni (shule za msingi) hapa mwanza ukipita ni kama vile unapita wizarani, ofisi ya RC, kanseli na hata idarani kwa jinsi magari yanavyopark kwa wingi, unakuta shuleni magari kibao zaidi ya 10 yamepark ambapo ni tofauti kabisa na kipindi kifupi tu cha nyuma kilichopita.Unaweza ukatofautisha na wizarani kwa kuwa wizarani magari mengi utaona ni maVX V8 wakati school ni rav 4, ist na vitz.
Nimefanya utafiti kidogo nimegundua magari hayo mengi yao ni walimu wa kike na sasa najiuliza kwanini walimu wa kike?
Je labda walimu wa jinsia hiyo wanamshahara mkubwa tofauti na wanaume? sasa naona maisha ya walimu yanaboreka.
Hebu kuwa serious,Sasa maajabu yako wapi hapo sasa???.Tz tunaishi kwa maajabu sana, hapo ni mshahara wa laki tatu, ana gari, nyumba, watoto shule za binafsi, kila baada ya siku tatu saloon
Wamenunuliwa na waume zaoAisee siku hizi shuleni (shule za msingi) hapa mwanza ukipita ni kama vile unapita wizarani, ofisi ya RC, kanseli na hata idarani kwa jinsi magari yanavyopark kwa wingi, unakuta shuleni magari kibao zaidi ya 10 yamepark ambapo ni tofauti kabisa na kipindi kifupi tu cha nyuma kilichopita.Unaweza ukatofautisha na wizarani kwa kuwa wizarani magari mengi utaona ni maVX V8 wakati school ni rav 4, ist na vitz.