Technology imekuwa sana na mimi napenda kuchunguza vitu vinavyohusiana nayo.
Hizo nyimbo nilizopaste hapa nimezitengeneza kwa kutumia AI tupu kuanzia lyrics, beat, na vocals
Lyrics zimeandikwa na chat gpt ambapo ninaipatia prompt ya topic, na mistari iwe na urefu gani, chorus ihusishe nini.
Kisha beat na vocals ni suno AI, ambapo unaipatia lyrics, unachagua unataka female au male, aina ya mziki, chorus unaweza sema iimbweje, au ukaiambia verse flani jamaa achane.
huu hapa ndiyo wa Rise Tanzania:
Hizi ni EDM tu nazo nimezitengeneza kwa style ile ile.