screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
View: https://youtu.be/txVBHF_kjhk?si=whyhDUs-5SsR0fj-
Hilo dude lilisukwa buana, sikiliza beat ya Dunga, Sikiliza chorus ya mwanadada Mercy Myra, halafu unganisha na flow nzuri kwenye beat kutoka kwa Noorah aisee, hivi vitu adimu tutaendelea kuvimiss sana...