MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,226
- 35,753
Kwa hasira kuu, bila salamu
Hawa manabii na mitume wauongo wanasumbua sana raia wetu wasio na akili za kutosha, wanawadanganya kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu
Ieleweke kwamba:
1. Wagonjwa wako mahospitalini hao wa mitaani siyo wagonjwa ni watu wazima.
2. Pia hela zina njia zake, una weka hela ili upate hela, cheza bahati na sibu, au kamari au any other consideration, including consideration ya vitu haramu
Hivyo basi, waende Muhimbili au Ocean Road Hospitals, wakawaombee wagonjwa, wote watoke ma-wodini waingie road, hapo tutawaamini
Hela haziwezi kutokea kwa kubeba mchanga au kupaka mafuta au kumwagiwa maji au kuombewa, au kupigiwa ramli, hivyo vyote ni ushirikina
HAYA MAMBO YA KIPUMBAVU NI DALILI KWAMBA NCHI YETU BADO IKO DUNIA YA TATU NA WATU WAKE BADO WAKO KWENYE SAFARI YA KUWA BINADAMU