Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 847
- 1,304
Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali.
Baada ya hapo, nilijikita kwenye mambo yangu, lakini nikipata nafasi humjulia hali. Alinieleza kuwa mumewe anampa changamoto sana kwa kuwa mtu wa wanawake wengi, nami nikamshauri avumilie.
Leo saa moja aliniita kwa simu na kusema kuwa anakuja kulala kwangu, akidai kuwa mumewe amemkera sana. Mtoto wake ameacha kwa dada yake na anasema atakamata bodaboda kuja.
Ameomba nimpokee na hata nimwandalie chakula. Sasa niko njia panda; nimkaribishe au nimpuuze? Tafadhali, naomba ushauri wenu.