Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,343
- 5,985
Habari wanazengo;
Hapo nyuma nilishawahi leta Uzi na kuuelezea namna nilivyopata Binti wa kiganda amabaye anamahaba mazito Tanzania hamna.
Mimi kama single father nikamwambia aende kwao aseme na wazazi wake kua amepata mchumba wakumuoa ili nipewe taratibu.... Lakini kilichotokea kumbe wanyankole wale wanaoa kwa ng'ombe na ng'ombe kwao ghari so nikatajiwa magari na vikolombwezo karibu tsh. 15m.
Nikasema siwezi hivyo nikapunguziwa mpaka 5m nikasema sawa. Lakini ilibidi nifanye maombi maalumu ya kumwambia Mungu ikiwa ndiye basi nipate huo mpunga kirahosi Kisha nikatoe magari otherwise nikose ili nisifanikishe.
Naakweli sikufanikiwa mwisho wa siku yule Binti alifosi kuja bongo kuishi na mm hivo hivo kwakutoroka maana hata kwao walimuuliza kama anahakika ameamua kuolewa na mwanaume aliyeachana na mke wake na wakiwa na watoto, maana walimuuleza juu ya changamoto zake hakujali alaja tuu bongo
Sasa alipokuja kuishi na mm rasmi watoto wangu walimchanganya saana na kwajinsi mama yao (x wife ) alikua akipiga saana simu kujulia Hali wanae alifikia hatua akaniambia hatoweza kuolewa na Mimi Bora aondoke maana nawapenda saana wanangu kuliko yeye either nichague Kati yake au watoto akitaka nipeleke watoto wadogo boarding au kwa mama yao au kwa bibi ili Mimi na yeye tu enjoy life so na mimi I have said ni Bora we uende nibaki na wanangu.
Aliondoka nyumbani kwangu lakini si kurudi kwao Kwan alisema hawezi kua mbali na mm sababu ananipenda japo nilimpa nauli na kuwajuza ndugu zake kwamba siko nae Tena.
Baada ya kama siku tatu akaaza kurudi anataka show na kwamba anataka kurudi nikamkazia ila show nilipiga na nikawa napiga saana mpaka sasa, shida ni kwamba analia saana anasema anajutia maamuzi yake na ukweli ni kwamba ananipenda na hawezi ishi bila mm.
Huku mm wakati Yuko kwao Mwaka jana nilikua demu mmoja wa mkoani, nilimla kama mara mbili akabeba mimba yangu na keshajifungua, ikabidi nimueleze tukio hilo na mengine yakumvunja moyo, aliumia kiasi lakini akanijibu huyo ni shetani anayekuendesha na yeye hatojali hilo kikubwa atakua ananiombea ili nisiendeleze umalay ....
Wasiwasi wangu hivi inawezekanaje mwanamke kupenda hivo na kuvumilia hivo?? Nini Kiko nyuma yake maana naompata mashaka pengine anajambo anataka kunitendea baadae.
Kwa jinsi anajinyenyekesha ndo napagawa maana anaaumia ila Bado yupo ananihudumia kanakwamba. Hana kitu... Hivi kweli inawezekana?? Nisaidieni ndugu zangu... Et dada zangu nyingi mnaweza hivi na ikiwa ndio ni kwasababu gani itakufanya umvumilie mwanaume wa namna hio??