Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
Mtandao gani huo ndugu?
Smile 4GMtandao gani huo ndugu?
Sio mapambano kiongozii
Shukrani sanaa... Weka bas na yako hapaHongera Tetramelyz
Sina hayo mautundu Tetramelyz .. Labda unipe tuition..Shukrani sanaa... Weka bas na yako hapa
Haya ingia play store alafu tafuta okla speed test then ishushe/ipakue kama ifuatavyoSina hayo mautundu Tetramelyz .. Labda unipe tuition..
Mkuu wewe leo ndio umeniconvince nihamie smile 4g.
Thanks my dear one...Haya ingia play store alafu tafuta okla speed test then ishushe/ipakue kama ifuatavyo
View attachment 365237 View attachment 365242 View attachment 365243 View attachment 365245 View attachment 365247
Fuata hizo hatua then ulete mrejesho
Bro hama huo mtandaoView attachment 365255 Tetramelyz hebu sasa nifafanulie rafiki yangu....
Mimi ni dada yako ndugu, hiyo ni Halotel, ndio wenye afadhali kwa hapa nilipo, hizo nyingine ni matatizo.Bro hama huo mtandao
Pole sana dadaMimi ni dada yako ndugu, hiyo ni Halotel, ndio wenye afadhali kwa hapa nilipo, hizo nyingine ni matatizo.
Vipi kuhusu mabando yake ni rafk kwa ss wenye kipato cha kawaida?Mkuu wewe leo ndio umeniconvince nihamie smile 4g.