Sijawahi kuwa Monitor, ila nikiwa Rais nitafanya haya

Searching for the truth

JF-Expert Member
Mar 22, 2022
874
1,804
Wakuu habarini za muda huu.

Hii nchi nikiisoma historia yake tangu uhuru mpaka sasa ilipofikia huwa inaniuma sana.

Miaka 62 ya uhuru haiendani kabisa na maendeleo tuliyonayo kama taifa.

Kwa kiasi kikubwa bado tunalia na matatizo yale yale; Umaskini,miundo mbinu mibovu,huduma hafifu za afya,elimu,wasomi hawana ajira,soko la wakulima matatizo,ufisadi,rushwa n.k.

Ili kuepusha haya mambo na kuwa na taifa imara na lenye future nzuri, kama kesho ningekuwa RAIS ningefanya yafuatayo.

1️⃣
Ningepunguza Umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma; Kutokana na Tatizo la ukosefu wa ajira nchini kwa vijana wasomi kuwa kubwa, ningepunguza umri wa kustaafu kutoka miaka 60-65 hadi miaka 45-50.

Lengo ni kupisha wengine nao wafaidi national cake ili kupunguza umaskini mtaani, kama umeajiriwa kwa miaka 15 hadi 20 ni dhahiri ushatengeneza msingi wa maisha una haki kabisa ya kupisha wwngine nao watengeneze future za maisha yao.

So, na-set mfumo wa elimu ambao mpaka msomi anafikisha miaka 25 mpaka 30 awe tayari amesha-graduate na nampa ajira alafu akifikisha miaka 45-50 namstaafisha ili kupisha wengine nao waajiriwe wapate mishahara waboreshe maisha yao na familia zao.

Kwa kiasi kikubwa hapa nitapunguza tatizo la wasomi wengi kukosa ajira.

2️⃣ Nisingeruhusu mtu yeyote kuwa na ajira zaidi ya moja au kupewa ajira nyingine baada ya kustaaafu; Nimeona huu upuuzi ukiwepo sana, watu wana zaidi ya ajira moja na wanakula mishahara tofauti, au mtu anastaafu kazi yake alafu anateuliwa tena kwenye zingine, mfano MABEYO.

Huku ni kunyima fursa kwa wasomi wengine kuchukua nafasi, huu upuuzi kama siwezi kufanya kwenye serikali yangu.

3️⃣ Ningepunguza muda wa elimu shuleni; Mfumo wetu wa elimu ni wa miaka mingi sana kiasi kwamba tunazekea shuleni na huu ni mfumo wa kipuuzi.

Ni kawaida kwa kwa wenzetu wazungu kukuta profesa ana miaka 25 mpaka 30, ila kwa sisi Tanzania mpaka uje uwe profesa tayari una miaka 50+ kama siyo 60+.

Hii yote ni kwa sababu tunaumizana wenyewe kwa wenyewe kwenye mfumo wetu wa elimu tukiamini kukaa miaka mingi shuleni ndiyo kuelimika.

Mimi ningepunguza kabisa mfumo wa elimu wa kukaa shule miaka mingi, mfano elimu ya msingi ningepunguza kuanzia primary kutoka miaka 9 iwe 7 pekee, sekondary O-level kutoka miaka 4 iwe mitatu pekee,A-level kutoka miaka miwili iwe mmoja pekee, Na degree miaka miwili tu badala ya 3+

Hii itasaidia vijana kuajiriwa wakiwa wadogo sana kwa hiyo hata nikim-staafisha akiwa na miaka 45-50 tayari atakuwa ashakaa kwenye ajira kwa miaka zaidi ya 20 inamtosha sana kupisha wengine nao waupunguze umaskini.

3️⃣ Mfumo wa elimu/topics ningebadilisha kabisa; Ningepunguza masomo shuleni maana kuna mengine hayana maana.

Mfano Kusoma historia za wakoloni haisaidii kitu chochote kwa uchumi wa nchi hii, Masomo ya sanaa yote ningeyaweka kuwa somo moja tena nachagua topic muhimu kwa ajili ya kufunza uzalendo tu.

Haya mengine ya sayansi na Vocational training ndiyo ningeyafanya kuwa kipa umbele zaidi.

Ningehakikisha mwanafunzi anaanza form one akiwa na combination ya masomo matatu pekee wala haina haja ya kusubiri mpaka Advanced level.

unakuta mwanafunzi wa O-level anasoma mzigo wa masomo 9 hadi 12, huu ni upuuzi usiyo na maana yeyote zaidi ya kuwa mzigo tu kwa mtoto.

Mimi ningekuwa Rais combination zingeanzia form one na ni Sayansi tupu na Vocation Training kwa wale wasiotaka Sayansi.
Trust me hii nchi itafika mbali kwa vizazi vijavyo, hatutakuwa tunafata matibabu India wala mainjinia CHINA.

4️⃣Ningefuta allowances zote ambazo wakuu wa nchi huwa wanapewa; Hapa sina hakika sana ila huwa nasikia kwamba, Kuanzia kwa Waziri mkuu kwenda juu, viongozi hawa waki-staafu huendelea kulipwa asilimia 80% ya mishahara yao iliyokuwa ikilipwa walipokuwa madarakani.

Sasa huu ni mfumo wa kipuuzi na kishetani, huwezi kunambia kwamba Rais, makamu au waziri mkuu atashindwa kuendesha maisha yake baada ya kutoka mamlakani mpaka uendelee kumlipa asilimia 80% ya mshahara wake wa zamani tena.

Huku ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi watanzania, nafuta hizi allowances zikafanye kazi zingine za msingi, na pia niliona eti rahisi akistaafu anajengewa nyumba na kukubidhiwa na serikali (hii nilishuhudia Magufuli akimkabidhi Mwinyi nyumba mpya eti kwa sababu katiba inaelekeza hivo).

Mimi huu upuuzi sifanyi, kama ulishindwa kujenga nyumba yako kwa mshahara wako ulivyokuwa madarakani basi usitegemee nitoe pesa za watanzania nikujengee wewe nyumba, lazima matumizi mabaya ya pesa kama haya niyazui ili kusudi pesa ziende kufanya mambo ya msingi kwa maslahi ya Watanzania.

5️⃣Ningefuta Bunge lisiwepo kabisa; Wengi tunadhani kwamba Uwepo Bunge ni msaada mkubwa kwa nchi, ila mimi nawaambia kama Rais atakuwa mwadilifu wala haina haja ya kuwa na wawakilishi (Bunge).

Binafsi nikiwa madarakani nafuta kabisa Bunge lisiwepo, maana linakula tu pesa ila kazi ya msingi hasa halina.

Bunge kwa mwaka linatumia mabilioni ya pesa, mimi ningelifuta Bunge alafu hizo pesa zilizokuwa zinatumika kwa ajili ya Bunge nazielekeza kwenye huduma za wananchi kama Hospitali na miundo mbinu mingine muhimu.

6️⃣ Katiba ya nchi naitupa chooni siku hiyo hiyo nitakayoingia madarakani; Katiba yetu ya nchi ya sasahivi siyo katiba bali ni taka taka, haifai kabisa kwa nchi yetu ya sasa maana kuna mambo ya hovyo sana mle.
Ningetengeneza Baraza la mawaziri dogo tu (Kila wizara na msaidizi wake basi) na hao ndiyo wangekaa na mimi Rais tutunge Katiba+Sheria yenye mambo ya msingi tu.

7️⃣ Huwezi kugombea rais kama hujapita jeshini kwa angalau miaka 10; Wanasiasa wengi Wamekuwa majizi kwa.sababu hawajui nini maana ya Uzalendo.

Mimi naamini jeshi pekee.ndiyo linaweza kufundisha uzalendo, Kwa hiyo napitisha sharia kali kabisa kuwa ukitaka kuwa Rais au waziri inabidi upite jeshini kwa angalau miaka 10 ili ufunzwe nini maana ya Uzalendo na ukija kuingia madarakani basi uwe mzalendo kisawa sawa na mchapa kazi haswa.

Tuna majizi wengi sana kwenye siasa ambayo yametokea tu mtaani hayajawahi kufunzwa uzalendo.

Nna Mambo mengi ya kuongea/kufanya ni-summarize tu kuwa nitabadili mambo mengi sana, Wafungwa wote gerezani nawaachia huru kabisa alafu naanzisha mfumo mpya wa magereza kwa ajili ya mafisadi tu kama kina JK,Membe,Ridhiwan n.k nawasweka ndani mpaka waseme kwanini hii nchi waliifanya kuwa ya familia, na muda huo nawafilisi mmoja baada ya mwingine.

Hakutakuwa na hukumu ya Maisha gerezani, kifungo kirefu itakuwa miaka 10 tu gerezani isipokuwa kwa mafisadi.

Sina muda wa kufunga majambazi gerezani, jambazi yeyote anaetumia bunduki itakuwa ni kupiga risasi na kuua hakuna kufunga gerezani.

Uchumi ukikaa vizuri hakuna mwanachi atakaelipa kodi maana hii nchi ina rasilimali nyingi sana, kodi watalipa wafanya biashara wakubwa kama kina Mo,Bakressa na wengine.

Nitakuwa tayari kufa na kutoa maishani yangu kama sadaka kwa Watanzania.

Nna mengi ila mengine nitayaongezea kwenye comment zenu.

Bila kusahau MASHOGA nitawapiga risasi live kama wanyama wa kuwinda, huwezi kuwa shoga mimi Rais nikuache uwe hai.

Moderators naombeni msiufute huu ujumbe.

Nawasilisha.
 
Hiyo ndo topic pekee uliyoiona kwenye hesabu ?

Ongeza na logarithim ya base ten
Hesabu za logarithm hutumika sehemu nyingi, mathalan kwenye utengenezaji wa ndege, inatumika kwenye vipimo mbalimbali, kama kupima tetemeko kupitia kipimo cha richter
 
Mkuu ni lazima ungalikuwa ni muimla na dikteta mkubwa kama utataka kutawala bila uwepo wa katiba, uhuru wa mahakama na bunge. Kwa kifupi wewe utakuwa mungu--mtu na kila ulitakalo itapaswa litimizwe hata kama lina kasoro hakuna atakaye thubutu kukushauri.

Kama tulishaonja madhila ya mtawala mwenye hisia kama zako kupitia JPM, basi tusithuburu kuruhusu kosa kama hilo lijirudie tena. Ukweli ni mchungu lakini ni lazima usemwe ili utuweke huru.

KIONGOZI MWENYE SIFA ULIZOZIAINISHA HAFAI KUONGOZA NCHI YETU.
 
Kwa kifupi mwanzoni lazima niwanyooshe kwanza, maana siwezi kutanguliza demokrasia mbele alafu maendeleo hawe nyuma.

Kwangu mimi maendeleo kwanza, wananchi wapate unafuu wa maisha,huduma za msingi for human beings ziwepo,demokrasia badae.

Mpaka nihakikishe nchi imenyooka kabisa raia wanafurahia mema nchi ndiyo nianze kuruhusu demokrasia kidogo kidogo.

Kwangu mimi bora dikteta mzalendo kuliko Mwana-demokrasia wa hovyo kama kina mzee wa msoga.

Kwangu mimi kina Gaddafi,Castrol, Joseph Stalin na Kina Mao Ze Dong ni bora zaidi maana walitanguliza maslahi ya nchi mbele kuliko huu upuuzi mnaouita demokrasia.

Hata Mungu alipomuumba Adam na Eva aliwapa mipaka ya uhuru, unataka serikali isikupe mipaka ya uhuru we ni nani.

Mimi siwezi kuruhusu watu kama LGBTQ+ waandamane eti wanataka haki, haki ya nyoko au 🥲
 
Mkuu lakini utafanya kazi zako kupitia watu wengine. Na ili ufanikishe malengo yako ni lazima waliokuwa chini yako wapokee maagizo yako.

Ni lazima baadhi ya watendaji wako watatumia madaraka yao vibaya, na pia wapo ambao watakao kuhujumu, na hata watakocheza rafu ili wapate kuirithi hiyo nafasi yako. Kwa vyovyote vile ni ngumu sana kumtawala mwanadamu.

Kama Munga Muumbaji alijuta kumuumba hata akaiangamiza dunia wakati ule wa Nuhu, wewe utawezea wapi ndugu yangu! Chukua nchi, kula mema ya nchi kwa nafasi yako, chukua chako mapema, mpishe mwenzako mwingine, anza kula pensheni zako na malupulupu mengine ya kiungozi, hatimaye utulie tuli na uwe mstaafu aliyekwisha kustaafu, period!
 
IMG_6065.jpg
 
Mkuu lakini utafanya kazi zako kupitia watu wengine. Na ili ufanikishe malengo yako ni lazima waliokuwa chini yako wapokee maagizo yako.

Ni lazima baadhi ya watendaji wako watatumia madaraka yao vibaya, na pia wapo ambao watakao kuhujumu, na hata watakocheza rafu ili wapate kuirithi hiyo nafasi yako. Kwa vyovyote vile ni ngumu sana kumtawala mwanadamu.

Kama Munga Muumbaji alijuta kumuumba hata akaiangamiza dunia wakati ule wa Nuhu, wewe utawezea wapi ndugu yangu! Chukua nchi, kula mema ya nchi kwa nafasi yako, chukua chako mapema, mpishe mwenzako mwingine, anza kula pensheni zako na malupulupu mengine ya kiungozi, hatimaye uwe mstaafu aliyekwisha kustaafu, period!
Wewe ni kiashiria cha fisadi ajaye.
Hakuna kisichowezekana amirishi jeshi mkuu akishaamua kupanga safu yake
 
1. Bunge halina faida lifutwe
2. Wakuu WA mikoa na wilaya hawana faida watolewe.
3. Waziri asiwe mbunge ni ufujaji wa kodi za maskini na conflict of interest. Waziri Linaiba linajitetea bungeni, stupid!
4. Rais ashinde kwenye sanduku la kura sio kupewa urais na katiba
5. Rais Mwanamke hapana ufisadi umerudi Kwa Kasi watu hawamuogopi
6. Kodi ni lazima Kwa Kila mtu
7. Primary school 5 years in full English, O - level 2 years, A - level 1 year , all in full English. Chuo Kikuu duniani kote ni 3 years bachelor degree, 2 years Master degree.
8. Ujamaa ideology ( kugawana umaskini) ni takataka tupa kule stupidity ya Mwalimu weka Capitalism ( uwekezaji).
9. Majambazi piga risasi
10. Askari na wanajeshi wajengewe Nyumba nzuri na mshahara mkubwa.
11. Vijana wote jobless waunde vikundi na wapewe mikopo, jeshi lisimamie mikopo itolewe kweli sio udanganyifu uliopo Sasa maofisa wanazingua sana huko halmashauri rushwa , ufisadi na kujuana tu , kijana asie kwenye kikundi Cha ujasiriamali akamatwe awekwe Jela! Sheria ya uzururaji ianze!
12. Elimu za ufundi na ujasiriamali ziwewekewe mkazo kuanzia primary school.
13. Kuzaa mwisho watoto wawili tu kama huna hela. Tunajaza watoto kumi na kushindwa kuwasomesha tunasumbua ndugu walipe ada na kuzalisha mateja na majambazi
 
1. Bunge halina faida lifutwe
2. Wakuu WA mikoa na wilaya hawana faida watolewe.
3. Waziri asiwe mbunge ni ufujaji wa kodi za maskini na conflict of interest. Waziri Linaiba linajitetea bungeni, stupid!
4. Rais ashinde kwenye sanduku la kura sio kupewa urais na katiba
5. Rais Mwanamke hapana ufisadi umerudi Kwa Kasi watu hawamuogopi
6. Kodi ni lazima Kwa Kila mtu
7. Primary school 5 years in full English, O - level 2 years, A - level 1 year , all in full English. Chuo Kikuyu duniani kote ni 3 years bachelor degree, 2 years Master degree.
8. Ujamaa ideology ( kugawana umaskini) ni takataka tupa kule stupidity weka Capitalism ( uwekezaji).
9. Majambazi piga risasi
10. Askari na wanajeshi wajengewe Nyumba nzuri na mshahara mkubwa

Nakuunga mkono kwenye baadhi ya vitu ila siyo vyote.

Hongera umejitahidi.

Ila Kwenye lugha sikuungi mkono.

Watanzania watumie lugha yao wanayoielewa, uchumi ni wawatanzania siyo wa waingereza au wa marekani.

Naweza kupa mfano hai wa mataifa yaliyofanikiwa kiuchumi duniani kwa kutumia lugha yao wenyewe.

Uchina wanatumia kichina na ni wa pili kwa uchumi duniani,

Japan wanatumia kijapan na taifa la tatu kwa uchumi mkubwa duniani,

Ujerumani inatumia kijerumani na taifa la Nne kwa uchumi mkubwa duniani,
Ufaransa inatumia kifaransa na ni taifa la sita kwa uchumi mkubwa duniani.

South Korea inatumia kikorea na ni taifa ambalo liko kwenye top 10 ya uchumi mkubwa duniani.

Ku-adopt lugha za kigeni kuwa lugha rasmi upuuzi wa kuchelewesha maendeleo ya nchi.

Kwa Tanzania English ingesomwa kama somo la lugha tu inayojitegemea tena iwe hiaeri but lugha ya kufundishia iwe kiswahili.

O-level wanafunzi wengi wamekariri vitu badala ya kuelewa vitu kwa sababu ya upuuzi wa lugha hii
 
Wewe ni kiashiria cha fisadi ajaye.
Hakuna kisichowezekana amirishi jeshi mkuu akishaamua kupanga safu yake
Mkuu siyo suala la ufisadi, bali kuwa smart ili kuchanga karata zako kutokana na fursa zinazojitokeza. Ni jambo jema kuwa mzalendo kwa ajili ya taifa lako, lakini usifanye hivyo kwa ajili ya kuwadhulumu watu wengine. Matajiri wapo hali kadhalika maskini wapo pia.

Matajiri wana njia zao za kupata utajiri, ziwe nzuri ama mbaya, cha msingi tu wawe walipajii wazuri wa kodi na maduhuri mengine ya serikali, na pia wawe watengezaji wazuri wa ajira kwa maskini waliokuwa wengi. Ni upuuzi kutegemea umma wa maskini wakupe matokeo, bali ni matajiri (mafisadi) tu wanaweza kuleta matokeo chanya ya kiuchumi.

Cha msingi ni kuwabana ili walichokifuja kigeuzwe kuwa mikopo kwao na kwa ahadi ya kufanya uwekezaji hapa nchini. Wakishindwa kufanya hivyo hata mimi naridhia, sheria ipitishwe ili adhabu ya kupigwa risasi hadharani itumike, ili liwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia hiyo ya ubadhirifu wa mali za umma.
 
Wakuu habarini za muda huu.

Hii nchi nikiisoma historia yake tangu uhuru mpaka sasa ilipofikia huwa inaniuma sana.

Miaka 62 ya uhuru haiendani kabisa na maendeleo tuliyonayo kama taifa.

Kwa kiasi kikubwa bado tunalia na matatizo yale yale; Umaskini,miundo mbinu mibovu,huduma hafifu za afya,elimu,wasomi hawana ajira,soko la wakulima matatizo,ufisadi,rushwa n.k.

Ili kuepusha haya mambo na kuwa na taifa imara na lenye future nzuri, kama kesho ningekuwa RAIS ningefanya yafuatayo.

Ningepunguza Umri wa kustaafu kwa watumishi wa umma; Kutokana na Tatizo la ukosefu wa ajira nchini kwa vijana wasomi kuwa kubwa, ningepunguza umri wa kustaafu kutoka miaka 60-65 hadi miaka 45-50.

Lengo ni kupisha wengine nao wafaidi national cake ili kupunguza umaskini mtaani, kama umeajiriwa kwa miaka 15 hadi 20 ni dhahiri ushatengeneza msingi wa maisha una haki kabisa ya kupisha wwngine nao watengeneze future za maisha yao.

So, na-set mfumo wa elimu ambao mpaka msomi anafikisha miaka 25 mpaka 30 awe tayari amesha-graduate na nampa ajira alafu akifikisha miaka 45-50 namstaafisha ili kupisha wengine nao waajiriwe wapate mishahara waboreshe maisha yao na familia zao.

Kwa kiasi kikubwa hapa nitapunguza tatizo la wasomi wengi kukosa ajira.

Nisingeruhusu mtu yeyote kuwa na ajira zaidi ya moja au kupewa ajira nyingine baada ya kustaaafu; Nimeona huu upuuzi ukiwepo sana, watu wana zaidi ya ajira moja na wanakula mishahara tofauti, au mtu anastaafu kazi yake alafu anateuliwa tena kwenye zingine, mfano MABEYO.

Huku ni kunyima fursa kwa wasomi wengine kuchukua nafasi, huu upuuzi kama siwezi kufanya kwenye serikali yangu.

Ningepunguza muda wa elimu shuleni; Mfumo wetu wa elimu ni wa miaka mingi sana kiasi kwamba tunazekea shuleni na huu ni mfumo wa kipuuzi.

Ni kawaida kwa kwa wenzetu wazungu kukuta profesa ana miaka 25 mpaka 30, ila kwa sisi Tanzania mpaka uje uwe profesa tayari una miaka 50+ kama siyo 60+.

Hii yote ni kwa sababu tunaumizana wenyewe kwa wenyewe kwenye mfumo wetu wa elimu tukiamini kukaa miaka mingi shuleni ndiyo kuelimika.

Mimi ningepunguza kabisa mfumo wa elimu wa kukaa shule miaka mingi, mfano elimu ya msingi ningepunguza kuanzia primary kutoka miaka 9 iwe 7 pekee, sekondary O-level kutoka miaka 4 iwe mitatu pekee,A-level kutoka miaka miwili iwe mmoja pekee, Na degree miaka miwili tu badala ya 3+

Hii itasaidia vijana kuajiriwa wakiwa wadogo sana kwa hiyo hata nikim-staafisha akiwa na miaka 45-50 tayari atakuwa ashakaa kwenye ajira kwa miaka zaidi ya 20 inamtosha sana kupisha wengine nao waupunguze umaskini.

Mfumo wa elimu/topics ningebadilisha kabisa; Ningepunguza masomo shuleni maana kuna mengine hayana maana.

Mfano Kusoma historia za wakoloni haisaidii kitu chochote kwa uchumi wa nchi hii, Masomo ya sanaa yote ningeyaweka kuwa somo moja tena nachagua topic muhimu kwa ajili ya kufunza uzalendo tu.

Haya mengine ya sayansi na Vocational training ndiyo ningeyafanya kuwa kipa umbele zaidi.

Ningehakikisha mwanafunzi anaanza form one akiwa na combination ya masomo matatu pekee wala haina haja ya kusubiri mpaka Advanced level.

unakuta mwanafunzi wa O-level anasoma mzigo wa masomo 9 hadi 12, huu ni upuuzi usiyo na maana yeyote zaidi ya kuwa mzigo tu kwa mtoto.

Mimi ningekuwa Rais combination zingeanzia form one na ni Sayansi tupu na Vocation Training kwa wale wasiotaka Sayansi.
Trust me hii nchi itafika mbali kwa vizazi vijavyo, hatutakuwa tunafata matibabu India wala mainjinia CHINA.

Ningefuta allowances zote ambazo wakuu wa nchi huwa wanapewa; Hapa sina hakika sana ila huwa nasikia kwamba, Kuanzia kwa Waziri mkuu kwenda juu, viongozi hawa waki-staafu huendelea kulipwa asilimia 80% ya mishahara yao iliyokuwa ikilipwa walipokuwa madarakani.

Sasa huu ni mfumo wa kipuuzi na kishetani, huwezi kunambia kwamba Rais, makamu au waziri mkuu atashindwa kuendesha maisha yake baada ya kutoka mamlakani mpaka uendelee kumlipa asilimia 80% ya mshahara wake wa zamani tena.

Huku ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi watanzania, nafuta hizi allowances zikafanye kazi zingine za msingi, na pia niliona eti rahisi akistaafu anajengewa nyumba na kukubidhiwa na serikali (hii nilishuhudia Magufuli akimkabidhi Mwinyi nyumba mpya eti kwa sababu katiba inaelekeza hivo).

Mimi huu upuuzi sifanyi, kama ulishindwa kujenga nyumba yako kwa mshahara wako ulivyokuwa madarakani basi usitegemee nitoe pesa za watanzania nikujengee wewe nyumba, lazima matumizi mabaya ya pesa kama haya niyazui ili kusudi pesa ziende kufanya mambo ya msingi kwa maslahi ya Watanzania.

Ningefuta Bunge lisiwepo kabisa; Wengi tunadhani kwamba Uwepo Bunge ni msaada mkubwa kwa nchi, ila mimi nawaambia kama Rais atakuwa mwadilifu wala haina haja ya kuwa na wawakilishi (Bunge).

Binafsi nikiwa madarakani nafuta kabisa Bunge lisiwepo, maana linakula tu pesa ila kazi ya msingi hasa halina.

Bunge kwa mwaka linatumia mabilioni ya pesa, mimi ningelifuta Bunge alafu hizo pesa zilizokuwa zinatumika kwa ajili ya Bunge nazielekeza kwenye huduma za wananchi kama Hospitali na miundo mbinu mingine muhimu.

Katiba ya nchi naitupa chooni siku hiyo hiyo nitakayoingia madarakani; Katiba yetu ya nchi ya sasahivi siyo katiba bali ni taka taka, haifai kabisa kwa nchi yetu ya sasa maana kuna mambo ya hovyo sana mle.
Ningetengeneza Baraza la mawaziri dogo tu (Kila wizara na msaidizi wake basi) na hao ndiyo wangekaa na mimi Rais tutunge Katiba+Sheria yenye mambo ya msingi tu.

Huwezi kugombea rais kama hujapita jeshini kwa angalau miaka 10; Wanasiasa wengi Wamekuwa majizi kwa.sababu hawajui nini maana ya Uzalendo.

Mimi naamini jeshi pekee.ndiyo linaweza kufundisha uzalendo, Kwa hiyo napitisha sharia kali kabisa kuwa ukitaka kuwa Rais au waziri inabidi upite jeshini kwa angalau miaka 10 ili ufunzwe nini maana ya Uzalendo na ukija kuingia madarakani basi uwe mzalendo kisawa sawa na mchapa kazi haswa.

Tuna majizi wengi sana kwenye siasa ambayo yametokea tu mtaani hayajawahi kufunzwa uzalendo.

Nna Mambo mengi ya kuongea/kufanya ni-summarize tu kuwa nitabadili mambo mengi sana, Wafungwa wote gerezani nawaachia huru kabisa alafu naanzisha mfumo mpya wa magereza kwa ajili ya mafisadi tu kama kina JK,Membe,Ridhiwan n.k nawasweka ndani mpaka waseme kwanini hii nchi waliifanya kuwa ya familia, na muda huo nawafilisi mmoja baada ya mwingine.

Hakutakuwa na hukumu ya Maisha gerezani, kifungo kirefu itakuwa miaka 10 tu gerezani isipokuwa kwa mafisadi.

Sina muda wa kufunga majambazi gerezani, jambazi yeyote anaetumia bunduki itakuwa ni kupiga risasi na kuua hakuna kufunga gerezani.

Uchumi ukikaa vizuri hakuna mwanachi atakaelipa kodi maana hii nchi ina rasilimali nyingi sana, kodi watalipa wafanya biashara wakubwa kama kina Mo,Bakressa na wengine.

Nitakuwa tayari kufa na kutoa maishani yangu kama sadaka kwa Watanzania.

Nna mengi ila mengine nitayaongezea kwenye comment zenu.

Bila kusahau MASHOGA nitawapiga risasi live kama wanyama wa kuwinda, huwezi kuwa shoga mimi Rais nikuache uwe hai.

Moderators naombeni msiufute huu ujumbe.

Nawasilisha.
Vip wengine ambao wameajiriwa wakiwa na miaka 35 mpaka 38
 
Mkuu siyo suala la ufisadi, bali kuwa smart ili kuchanga karata zako kutokana na fursa zinazojitokeza. Ni jambo jema kuwa mzalendo kwa ajili ya taifa lako, lakini usifanye hivyo kwa ajili ya kuwadhulumu watu wengine. Matajiri wapo hali kadhalika maskini wapo pia.

Matajiri wana njia zao za kupata utajiri, ziwe nzuri ama mbaya, cha msingi tu wawe walipajii wazuri na watengezaji wazuri wa ajira kwa maskini waliokuwa wengi. Ni upuuzi kutegemea umma wa maskini wakupe matokeo, bali ni matajiri (mafisadi) tu wanaweza kuleta matokeo chanya ya kiuchumi.

Cha msingi ni kuwabana ili walichokifuja kigeuzwe kuwa mikopo kwao na kwa ahadi ya kufanya uwekezaji hapa nchini. Wakishindwa kufanya hivyo hata mimi naridhia, sheria ipitishwe ili adhabu ya kupigwa risasi hadharani itumike, ili liwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia hiyo ya ubadhirifu wa mali za umma.
𝐊𝐰𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐦𝐢𝐦𝐢 𝐬𝐢𝐣𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚𝐨𝐧𝐞𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮, 𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢𝐭𝐚𝐭𝐮𝐧𝐠𝐚 𝐬𝐡𝐞𝐫𝐢𝐚 𝐤𝐚𝐥𝐢 𝐝𝐡𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐰𝐚𝐬𝐢𝐲𝐨 𝐰𝐚𝐚𝐝𝐢𝐢𝐥𝐢𝐟𝐮.

𝐋𝐞𝐧𝐠𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐧𝐜𝐡𝐢 𝐰𝐚𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐢𝐞 𝐧𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧𝐚𝐥 𝐜𝐚𝐤𝐞 𝐲𝐚𝐨.
𝐧𝐢𝐤𝐨 𝐫𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐦𝐢𝐦𝐢 𝐧𝐢𝐣𝐢𝐧𝐲𝐢𝐦𝐞 𝐰𝐚𝐭𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐰𝐚𝐩𝐚𝐭𝐞.

𝐤𝐰𝐚𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐧𝐚 𝐆𝐚𝐝𝐚𝐟𝐟𝐢 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐚𝐣𝐞 𝐧𝐜𝐡𝐢 ?

𝐔𝐡𝐮𝐫𝐮 𝐮𝐧𝐚𝐨𝐮𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐡𝐚𝐮𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐞𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐧𝐜𝐡𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐭𝐚𝐚𝐛𝐢𝐤𝐚
 
Back
Top Bottom