Wangekula umeme au lile goli lingekubaliwa ile dakika ya 60, wangekula hata 7 wale maana tungewashambulia kama nyuki. KInachotusikitisha, siyo kawaida yetu kumtoa mtu kwa goli chache.Eti timu imeshinda, ila cha kushangaza mashabiki wake bado wanalia lia tu kama watoto walionyimwa peremende.
Ila yule mchezaji alistahili kadi nyekundu mapema tu. Ukosefu wa umakini kutoka kwa waamuzi, na pia kukosekana kwa VAR kulimuokoa.Wangekula umeme au lile goli lingekubaliwa ile dakika ya 60, wangekula hata 7 wale maana tungewashambulia kama nyuki. KInachotusikitisha, siyo kawaida yetu kumtoa mtu kwa goli chache.
Hapo ndio nakupa heshima yako kwenye ukweli unaweka mahaba pembeniIla yule mchezaji alistahili kadi nyekundu mapema tu. Ukosefu wa umakini kutoka kwa waamuzi, na pia kumosekana kwa VAR kulimuokoa.
Mimi ni mwanamichezo. Hivyo ninaamini katika fair play!Hapo ndio nakupa heshima yako kwenye ukweli unaweka mahaba pembeni
Wakati Mwingine Akili Zako Zinafanya KAZI vizuri Wewe Msambaa, Pamoja ya kuwa Wewe Utopolo Lakini kiukweli Umesema Ukweli, yule Beki alitakiwa Alivyomchezea Ahoua Kwa Mara ya Pili Baada ya kwanza kumchezea Ferdinand Mavambo, Umeme Ulimuhusu Fasta tuMimi ni mwanamichezo. Hivyo ninaamini katika fair play!
Na hii ni maana haswa ya utopwinyoAlicheza kiume haswa
Refa kawabeba sanaKilochowakuta Waamuzi wa jana ndio ule usemi wa tenda wema uende usingoje shukurani, walistahili red card lakini refa hakutoa,goli halali likakataliwa,wameshika kwenye box hakutoa penati na bado baada ya mechi wametaka kumpiga.
Hapo ndioo huwa nakupaga heshima kwa hilo, huwa unaweka ushabiki na mahaba pembeni na kusema ukweli.Ila yule mchezaji alistahili kadi nyekundu mapema tu. Ukosefu wa umakini kutoka kwa waamuzi, na pia kumosekana kwa VAR kulimuokoa.
Yule ni Mtusi na tabia za vita vita NI zao. Mpuuzi Sana yuleAlikuwa na yellow card,akaja kumfanya rafu mbaya Fernades akaachwa,akaja kumkanyaga Ahoua makusudi akaachwa,akaja kumpiga kichwa sijui Ateba akaachwa pia,yule jamaa alistahili red card mapema.