kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,785
- 20,164
Tuache ushabiki, tuache unafiki, tuache uchawa,tuache uchawa ni kipi cha maana au chenye tija ambacho kakifanya rais Samia tokea aingie madarakani?
Mimi naona hamna kitu kafanya hakuna jipya alilofanya,maana miradi yote ilikua ni ya magufuli na jk hadi kuitafutia fedha na kila kitu walifanya watangulizi wake huko kabla hata zamu yake haijafika.
Tuambieni ni lipi la maana hasa kalifanya hadi sasa?maana mimi sijaona la maana kafanya kiukweli sielewi hata anafanya nini pale jumba jeupe