Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,597
- 39,134
Mafisadi wa aina zote. Wengine wanajinyea na kujiharishiaWanaoisoma namba ni kina nani kwasasa?
Du. mbona unapenda uzushi wewe! Ni lini nilisema kwamba sipigi kura?Hahaha mtabakia hivyohivyo
Mara sipigi kura tena!! Leo mnaanza kujirudi
Ata mimi sijaitupa..time ikifika tutawaonesha
Wewe huoni kama kuna mabadiliko yanatokea? Huo mfuatano wako wa hesabu haukuoneshi kwamba kuna tofauti kati ya 1995 na 2015. Umenikumbusha kile kisa cha wanawali wasio na akili ambao hawakuzitia taa zao mafuta!!Nimependa hii sana kwa sisi tuliosoma hesabu imenikumbusa hesabu za sequence and series kwa maana mlianzia 1995-2000-2005-2010-2015 na sasa mmehamia 2020 na kila mara huwa lugha ni ile ile tu kwamba ngojeni tutawakomesha oktoba kinachobadilika ni namba tu!
Kwani nimekutaja!!Du. mbona unapenda uzushi wewe! Ni lini nilisema kwamba sipigi kura?
Naona umepanic hujamjibuWewe huoni kama kuna mabadiliko yanatokea? Huo mfuatano wako wa hesabu haukuoneshi kwamba kuna tofauti kati ya 1995 na 2015. Umenikumbusha kile kisa cha wanawali wasio na akili ambao hawakuzitia taa zao mafuta!!
Hawa watu kiukweli ukiwachunguza vizuri wamerogwaNimependa hii sana kwa sisi tuliosoma hesabu imenikumbusa hesabu za sequence and series kwa maana mlianzia 1995-2000-2005-2010-2015 na sasa mmehamia 2020 na kila mara huwa lugha ni ile ile tu kwamba ngojeni tutawakomesha oktoba kinachobadilika ni namba tu!
Sisi huwa hatuongei wala kuzungusha mikono.CCM Itatawala nchi hii miaka 90000000000000000000000000000000000000000000000000000000Baada ya kuisha kwa uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 niliirudisha kadi yangu ya kupigia kura kwenye kijamanda changu na kama MUNGU atanipa maisha ya kuufikia uchaguzi mwingine tena wakati wowote kuanzia sasa, nitakwenda kupiga kura na kwa hakika KURA yangu hiyo nitapiga TENA dhidi ya CCM!
SIJATUPA KADI YANGU YA KUPIGIA KURA!!
Mkuu kwa hiyo ulitaka waisome namba watu wa UKAWA sio?Wanaoisoma namba ni kina nani kwasasa?
Allen Kilewella nafahamu una hasira na CCM kwa kuwakanyaga kwenye kila game mnalodhani mtashinda. SAWA, lakini siyo kila muda maumivu ya chaguzi zilizopita ya kikuandama uje JF kutoa dukuduku zako. Siku nyingine mpigie mpenzi wako au mama watoto wako ambaye bila shaka ni mwana UKAWA mwenzako muongee akutulize.Baada ya kuisha kwa uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 niliirudisha kadi yangu ya kupigia kura kwenye kijamanda changu na kama MUNGU atanipa maisha ya kuufikia uchaguzi mwingine tena wakati wowote kuanzia sasa, nitakwenda kupiga kura na kwa hakika KURA yangu hiyo nitapiga TENA dhidi ya CCM!
SIJATUPA KADI YANGU YA KUPIGIA KURA!!
MOTOCHINI Barbarosa kaweka mfuatano wa miaka uchaguzi unapofanyika ila sijaelewa. Nyie hamuoni kama sisi ni waungwana tunaosubiri uchaguzi hata kama mnatumia njia zisizo halali kutushinda? Mlitaka tuseme mwaka 2020 hatutapiga kura badala yake tutatumia mtutu wa bunduki kuingia Ikulu? Kila wakati wa uchaguzi mnasema "wapinzani wakishinda kutatokea machafuko" kumbe tafsiri yenu ni kwamba, CCM ikishindwa haitakubali kuiachia Ikulu.
MOTOCHINI Barbarosa kaweka mfuatano wa miaka uchaguzi unapofanyika ila sijaelewa. Nyie hamuoni kama sisi ni waungwana tunaosubiri uchaguzi hata kama mnatumia njia zisizo halali kutushinda? Mlitaka tuseme mwaka 2020 hatutapiga kura badala yake tutatumia mtutu wa bunduki kuingia Ikulu? Kila wakati wa uchaguzi mnasema "wapinzani wakishinda kutatokea machafuko" kumbe tafsiri yenu ni kwamba, CCM ikishindwa haitakubali kuiachia Ikulu.