Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 27,340
- 65,830
Mpo salama!
Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana.
Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo.
Hakuna anayemzingatia Sana Wala Waandishi wa habari na wachukua kamera hawana habari naye.
Na ukimwon labda kwenye picha Fulani ujue yupo kimakosa na mchukua kamera hakuwa amemlenga kumchukua Yeye.
Huko Mbeya ni wazi hawezi kutoboa kwa Tulia.
Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu, Tulia naona anapepea tuu
Haya.