Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
Yule amerudisha? Au hadi afatwe na matarumbeta?Washenzi sana watu wa hivyo halafu wengi wao ukiwadai wanaanza kutoa kasoro na kashfa tele.
Ila nyie ndo mnaongoza kuazimana nguo ili mtokelezee!!Washenzi sana watu wa hivyo halafu wengi wao ukiwadai wanaanza kutoa kasoro na kashfa tele.
Yule amerudisha? Au hadi afatwe na matarumbeta?
Ila nyie ndo mnaongoza kuazimana nguo ili mtokelezee!!
Mm ukininyima kitu unanifundisha kutafuta changu kwa nguvu zote..ila na ww ukiwa na shida usije kuazima kitu kwangu..Usiwe unawapa mkuu kuepusha shari
Unamsamehe au ongea na mshanaWapiii shoga angu....Tena amefikia hatua ya kuniita mimi mvuta bangi jamani jamani
Unamsamehe au ongea na mshana
Look mtu anakuja anakuomba umpe kitu na unacho na mbaya zaidi ni tafki yako unamkataliaje?;after all mim sioni shida kumpa mtu kitu kile ninacho shida ni kuwa akipewa akirejeshe nuktaMkuu kama hupendi usiwe unawaazima na wewe pia usiende kuazima.