kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,604
- 23,066
Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya bongo yenye timu dhaifu kama jkt,namungo,singida black stars na nyingjnezo zinazo pewa udhamini na GSM taarifa hizi chanzo chake ni mjumbe aliyeshiriki kikao baada ya mechi ya mwisho dhidi ya mc alger kikao kilifanya maamuzi mengi hata kuondoa baadhi ya member wa kamati ya maxhindano na wachezaji wameonekana kushuka viwango baada ya kuvunja miiko ya uchezaji kwa kujaamiana hovyo wakiwa manumbani kwao kwa kuwa wachezaji wengi hawapo katika misingj ya u-proffessional kilimaliza chanzo hicho!