Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 828
- 773
Wasee habari !
Leo nimeona ni share na wewe side hustle business idea ambayo inaweza kukupa pesa instead of kuzurura mtandao bila tija si sawa. Juzi kati baada ya pot la pressure cooker kuzingua ikabd niingie front kulitafuta replacement kama nitapata kule facebook marketplace , sikupata lile ninalohitaji mengi naona ni 2L , binafsi nahitaji 6L. Sikuhisia hapo nikapost kwenye magroup kadhaa ya machimbo ya karikaoo still sikupata 6L, kingine kilichonistua ni kuona raia shazi wanahitaji sufuria za pressure cooker, kuna dada mmoja anaweka namba zake nakajua anayo shop kwake kumbe chwee, yeye anauza ya mtumba ila kwa oda nikaona uchawi nikaachana nae.
Nimejaribu sana kutafuta chimbo la kkoo wanapouza lakini bado sijapata , nikasema nije kuwapa mawinga wa kkoo wachekeche kama wanaweza kupata ilo chimbo wapige pesa if possible.
Sasa ukiwa kama winga na umedhamilia kutaka kuanza hii business kama side hustle business fanya yafuatayo maana huhitaji ni mkubwa sana kwenye soko:
1. Jifunze sponsored ads: Hapa unaweza ukachagua udili na instagram au facebook kutangaza bidhaa yako ya sufuria za pressure cooker (6L/2L). Instagram ni poa zaidi kutokana na mwonekano wake ulivyo.
2. Tafuata machimbo ya sufuria za pressure cooker: Ukiwa na uwakika wa upatikanaji wa bidhaa ni rahisi kuteka soko na kupiga sana pesa, kinachotesa wafanyabiashara wengi ni kutokuwa na options ya kupata bidhaa husika, mfano winga ana chimbo moja tu la sufuria za pressure cooker ko zikiisha hana options na kupoteza wateja na kutokuwa active kwenye social media especially instagram.
3. Weka bei rafiki: Hapa usitake faida kubwa sana bali dili na mzunguko wa bidhaa, kuna mdada mmoja nimemwona facebook anauza sufuria za pressure cooker za 2L sh 50k, sasa kama sufuria ni 50k na pressure cooker inauzwa 100k. Ni rahisi kupoteza pesa kwenye sponsored ads kwasababu huna realistic price kulingana na soko. Mfano unauza 25k/30k ni rahisi mteja kushawishika kununua kwasababu akifikria pressure cooker inauzwa 100k kuna gap hapo kubwa, ingawa kuna multi-cooker nimetoka ambazo ni 2L zinauzwa 50k.
4. Free delivery : Hapa unabidi ujiongeze mteja hasijue kama analipia indirect, unapoweka bei ya bdihaa husika weka na delivery cost ili mteja aone kama anabebwa kwa kupelekewa bure bila kulipa pesa ya usafiri. Na uchawi wa kunasa wateja wengi ofa free delivery, kuna mwaka flan nilisoma vitabu vingi vya biashara kwenye upande wa sales , nikavutiwa kujaribu kuwa middleman(winga), nika practice kwenye upande wa funicha, nikawa natafuta funicha kali kwenye pinterest namtumia fundi anipe bei then napost kwenye facebook groups, tulipiga pesa sana ndani ya wiki , nikiwa niko zangu gheto na smart. Kitu ambacho nilijifunza kupitia ile trial ya kuwa winga wa funicha ni HONEST, na wateja wengi niliyowapata ni wanawake. Nilikuwa natumiwa ADVANCE bila ata kuonana na mteja na mm nikawa naende kule wanapotaka wao uku nikgombana na mafundi wangu.
Siku moja nilitoa ofa ya free delivery, aisee ilikuwa balaa nilipata oda 5 za kabati na meza , niliongea na kirikuu mapema kabla ya kuweka oda na wateja nilitarget wa karibu na ofisi. Nipo segerea kwa bibi oda nyingi zilikuwa kineyerezi ila kuna moja nilipata kitunda
. Nilibug koz sikutumia sponsored ads ila kama ningetumia sponsored ads ingekuwa rahis kutarget wateja ninaowataka ili iwe rahisi kwa free delivery with reasonable price.
5. Target customers : Kama mishe zako ni kariakoo muda wote , dili na wateja wa mwendokasi ili iwe rahisi na fasta kufanya delivery, mfano magomeni, shekilango, ubungo, mbezi ya walala hoi
. Kwako itakuwa rahisi sana kudili na wateja wako na kwa wakati, kuliko kudili na dar nzima ni uchawi utatumia gharama sana. Hapa wengi wanafeli na kupoteza pesa sana kwenye sponsored ads kwa7bu hawajui wateja wanaowataka.
6. Using Whatsapp Business instead: Ukiwa winga inabd uwe na mkakati madhubuti ili kudili na wateja wako effectively bila kuchangana na watu wengine ambao sio wateja, hapa wengi wanabug na kutumia whatsapp business ad kwa watu ambao sio wateja na kingine wanapost personal life style badala wapost bidhaaa na ofa kitu ambacho wateja wanapenda kuona muda wote kwenye status yako. Ata kwenye instagram jaribu kuwa na professional na personal account ili utofautishe maudhui, watu wamekufollow kwa7bu ya bidhaa na ofa na sio life style , mambo ya life style kwenye personal account.
7. Be reliable online : Ukisha kuwa winga online presence ni lazima labda uwe umeacha uwinga, kutokuwa reliable ni rahisi wateja ku guess kuwa wewe ni TP. Ila kama ni mambo mengi unaweza fanya settings kwenye whatsapp business endapo utakuwa offline mteja akuchek kawaida ili usiweze kumpoteza zaidi na kuonekana TP.
8. Connect whatsapp business, instagram na facebook : Kwa kuunganisha ni rahisi kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, unaweza kutumia facebook (Ads Manager) kufanya sponsored ads kwa kupata views kutoka instagram na facebook kwa $1?. Yaa its possible wala usigune, ukitumia facebook (Ads Manager) kuna options nying sana kuliko kutumia instagram pekeyake.
Final words: Uwinga una pesa sana kama utajua namna ya kutumia social media vizuri especially instagram, facebook na whatsapp business bila kushahau TIKTOK. Na ukitaka uwe popular kwa muda mchache penda kwenda live especially kwenye TikTok na Instagram uku ukionesha bidhaa. Ni njia rahisi ya kupata followers wengi kwa muda mchache. Ukiwa mwaminifu utafanya makubwa zaidi kwa7bu wateja wanaambia , for that reasons ni rahisi taarifa zako nzuri kusambaa. Nina testimony kuhusu ili ko jaribu na wewe ujionee kwa macho yako ya nyama.
It begins with YOU.